×

Kimataifa

Bad News: Msanii Auawa Kinyama kwa Kuchomwa Kisu Jijini London

TAMASHA la Notting Hill jijini London limetiwa doa kutokana na kuuawa kwa rapa chipukizi na maelfu ya watu kukamatwa, Polisi...

READ MORE

Chris Rock Agomea Mwaliko Tuzo za Oscars Kisa Kofi la Smith

CHRIS ROCK amegomea mwaliko Tuzo za Oscars miezi kadhaa baada ya muigizaji Will Smith, kumzaba kofi la moto mchekeshaji Chris...

READ MORE

Waziri wa Afya wa Ureno Ajiuzulu Baada ya Mtalii Mjamzito Kufariki kwa Kushindwa Kuhudumiwa

Waziri wa afya wa Ureno, Dkt.Marta Temido amejiuzulu saa chache baada ya ripoti kuibuka kuwa mtalii mjamzito amefariki dunia. Mwanamke...

READ MORE

Kutana na Treni Yenye Kasi Kubwa Kuliko Zote Duniani, Imeweka Rekodi Mwaka 2022

SHANGHAI Magrev ni treni (gari moshi) iliyoweka rekodi mwaka (2022) kuwa Treni ya umeme yenye kasi zaidi kuliko zote duniani...

READ MORE

Papa Francis Alaani Kiukali Vita ya Urusi na Ukraine, Kyiv Yasikitishwa na Kauli yake

KATIKA taarifa ya Vatikani, Papa Francis leo ametoa maneno yake makali zaidi kuhusu vita vya Urusi na Ukraine, akivitaja kuwa...

READ MORE

Akutwa na Hatia ya Kumuua Mke Wake Miaka 40 Iliyopita

MWANAUME wa Australia anayefahamika kwa jina la Chris Dawson amepatikana na hatia ya kumuua mkewe miaka 40 iliyopita baada ya...

READ MORE

Mtanzania Anayeishi Ubelgiji Aunga Mkono Juhudi za Rais Samia 

MTANZANIA anayeishi nchini Ubelgiji Sophie Ledani ambaye ni mwanzilishi wa Foundation ya Samaritan VZW Belgium ambayo inasaidia watu wwenye changamoto...

READ MORE

Watu 15 Wauawa kwa Kupigwa Risasi Katika Vurugu za Baghdad

WAFUASI 15 wa Ulamaa wa kidini katika dhehebu la Shia nchini Iraq wameuawa kwa kupigwa risasi katika maandamano yaliyofanyika katika...

READ MORE

Mafuriko Yaleta Athari Kubwa Nchini Pakistan, Watu Zaidi ya 1000 Wapoteza Maisha

  Waziri wa hali ya hewa nchini Pakstani Sherry Rehman amesema kuwa mafuriko yanayondelea nchini humo yameleta hasara kubwa ambapo...

READ MORE

Breaking News: Mahakama ya Juu Kenya Yaamuru Kura za Urais Kuhesabiwa Upya

MAHAKAMA ya Juu nchini Kenya imeamuru kuhesabiwa upya kwa kura za urais katika vituo 15 kote nchini humo, zoezi ambalo...

READ MORE

Maajabu ya Magari ya Elon Musk Yanayotumia Umeme na Yanayojiendesha Bila Dereva

KAMPUNI ya magari ya Tesla inayomilikiwa na Tajiri namba moja duniani Elon Musk, Ndio kampuni ya kwanza kuwa na magari...

READ MORE

Marubani Wazichapa Wakiendesha Ndege Angani, Habari Zasambaa Dunia Nzima

  WAKIWA ndani ya chumba cha marubani wakiendesha ndege angani, marubani wawili wa Shirika la Ndege la Air France wanaripotiwa...

READ MORE

Pakistan Yaomba Msaada Wakimataifa Baada ya Kukumbwa na Mafuriko ya Ghafla

PAKISTAN iko mbioni kuzuia upotezaji zaidi wa maisha huku ikikabiliwa na moja ya maafa mabaya zaidi ya hali ya hewa...

READ MORE

Muafrika Kusini Akimbia Kilomita 90 Kumchumbia Mwanamke

MZEE mmoja mwenye umri wa miaka 57, aliyetambulika kwa jina la Joseph Kagiso Ndlovu, alikimbia mbio za kilomita 90 (maili...

READ MORE

Watu 32 Wauawa na Wengine 159 Wajeruhiwa Tripoli, Libya

WATU 32 wameuawa na wengine 159 kujeruhiwa katika mapiganao kati ya makundi hasimu dhidi ya makundi yanayounga Serikali ya Libya...

READ MORE

Kampuni ya Kompyuta ya Dell ya Marekani Yasitisha Rasmi Huduma Zake Nchini Urusi

KAMPUNI ya teknolojia ya Dell yenye Makao yake Makuu nchini Marekani inasema ilikuwa imemaliza shughuli zote nchini Urusi baada ya...

READ MORE

Zaidi ya Watu 12 Wameuawa Congo Katika Mashambulizi Tofautitofauti

ZAIDI ya watu 12 wameuawa huko Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo katika mashambulizi yaliyotokea mashariki mwa nchi hiyo siku 3...

READ MORE

Bilionea Elon Musk: Kuna Upungufu Mkubwa wa Watu Wanaozaliwa Duniani

ELON MUSK; ni tajiri namba moja duniani mwenye utata mkubwa kutokana na kauli zake zisizoeleweka mbele wala nyuma kama kitumbua...

READ MORE

Mwamba Aua Chui kwa Mikono, Atumia Dakika Kadhaa Kufanya Maangamizi

NDUMISO MONA; ni mwanaume mwamba kabisa wa nchini Afrika Kusini ambaye kwa sasa ni gumzo nchini humo baada ya kupambana...

READ MORE

Ni Kweli Putin Hawezi Kufa?, Nadharia Pamoja na Wasomi Mbalimbali Wametoa Ushuhuda 

KAMA unapenda kusoma makala na kusikiliza documentary kwenye YouTube, basi utakuwa umekutana na makala na documentary nyingi zinazodai kuwa, eti...

READ MORE

Rubani Mdogo Mwenye Miaka 17, Aweka Rekodi ya Dunia

MACK Rutherford mwenye umri wa miaka 17 raia wa Uingereza aliyekulia nchini Ubelgiji ameweka rekodi ya kuwa rubani mwenye umri...

READ MORE

Mkuu wa Polisi wa Kitaifa Ajiuzulu Baada ya Kuuawa kwa Waziri Mkuu wa Japan

MKUU wa Polisi wa kitaifa wa Japan, Itaru Nakamura amewasilisha ombi la kujiuzulu baada ya kukiri kushindwa kumlinda Waziri Mkuu...

READ MORE

Chanjo ya Rotavirus Yawekwa Kwenye Mipango ya Kitaifa Nigeria

NIGERIA imeongeza chanjo ya Rotavirus katika mpango wake wa kitaifa wiki hii ambao unatarajiwa kupunguza vifo 50,000 kutokana na ugongwa...

READ MORE

Kampuni ya Kuuza Mafuta ya TotalEnergies Nchini Ufaransa Yashutumiwa Kusambaza Mafuta ya Ndege Kwa Jeshi la Urusi

WAZIRI wa Uchukuzi wa Ufaransa Clement Bon alitoa wito wa kuchunguza kashfa hiyo ya tuhuma za kampuni ya mafuta ya...

READ MORE

Mkuu wa Polisi wa Marekani Afukuzwa Kazi, Atuhumiwa kwa Uzembe Kazini

MKUU wa Polisi, Pete Arredondo aliyetuhumiwa kwa kutochukua hatua stahiki katika tukio la mauaji ya wanafunzi 19 na walimu wawili...

READ MORE

Je, Ukraine Wanapewa Silaha Gani za Kivita?, Nani Mhusika Mkuu Katika Misaada Hiyo?

MIEZI sita tangu Urusi ilipovamia Ukraine, viongozi wa kimataifa wamekuwa wakionyesha mshikamano wao na Ukraine na kusisitiza uungaji mkono wao....

READ MORE

Kifo cha Waziri Mkuu Mstaafu Chaiweka Matatani Kazi ya Mkuu wa Polisi Japan

MKUU wa jeshi la Polisi Itaru Nakamura, ambaye alisema atajiuzulu ili kuwajibika, ndiye afisa mkuu zaidi kujiuzulu kuhusiana na mauaji...

READ MORE

Afisa Mkuu wa Usalama wa Zamani wa Twitter Afichua Mapungufu ya kiusalama kwa watumiaji Wake

MKUU wa usalama wa Twitter aliyefutwa kazi hivi karibuni anadai kuwa mtandao huo wa kijamii unatishia ufaragha kwa watumiaji wake...

READ MORE

Mjane wa Kobe Bryant Alipwa Dola Milioni 16 baada Picha za Mumewe Kuvujishwa

BAADA ya picha za mwili wa aliyekua nyota wa mpira wa kikapu  wa Marekani Kobe Bryant kuvujishwa na naibu afisa...

READ MORE

Shambulio la Urusi Siku ya Uhuru wa Ukraine Laua Watu 22 Kituo cha Treni

Baada ya Ukraine kufikisha miaka 31 ya uhuru tangu ilipojitoa kwenye utawala wa kisoviet, Katika siku ya uhuru Rais wa...

READ MORE

Masista Wanne wa Kanisa la Katoliki Watekwa Nyara na Watu Wasiojulikana

MASISTA wanne wa kanisa la Katoliki wametekwa nyara na watu wasiojulikana katika Jimbo la Imo lililopo Kusini Mashariki mwa Nigeria....

READ MORE

Mwalimu Mkuu Aanguka na Kufariki Akiwa Njiani Kuelekea Shuleni

HALI ya huzuni ilitanda katika Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Shitoto iliyoko Mumias Mashariki, Kaunti ya Kakamega nchini Kenya...

READ MORE

Ajikuta Amezikwa Kaburini Baada ya Kulewa Kupita Kiasi

MWANAUME mmoja anayefahamika kwa jina la Victor Hugo Mica Alvarez (30), mkazi wa Amerika Kusini ya Bolivia, amejitokeza na kueleza...

READ MORE

Marekani Yafanya Uvamizi Nchini Syria, Kamanda Athibitisha Kuwa ni Amri ya Rais Biden

MAREKANI inasema imefanya mashambulizi ya anga mashariki mwa Syria, yakilenga miundombinu inayotumiwa na makundi yenye uhusiano na Jeshi la Walinzi...

READ MORE

Nini Kitatokea Baada ya Vita Kufikisha Nusu Mwaka Kati ya Ukraine na Urusi

WATAALAMU wanasema Ukraine inahitaji kufanya maendeleo kusini-magharibi mwa nchi wakati wa msimu wa baridi kali na jinsi Vladimir Putin anaweza...

READ MORE

Fahamu ni Jinsi Gani Unaweza Kuimarisha Kumbukumbu Yako

KUPOTEZA kumbukumbu kwa mwanadamu ni hali ya kawaida ambayo kitaalam inajulikana kama “Amnesia” Wakati mwengine kupoteza kumbukumbu kukizidi inakua ugonjwa...

READ MORE

Mwandishi wa Habari wa Mexico Auawa kwa Kupigwa Risasi

MWANDISHI wa habari wa Mexico, Fredid Roman ameuawa kwa kupigigwa risasi na mwili wake kukutwa ukiwa ndani ya gari kwenye...

READ MORE

Al Shabaab Kumalizwa na Utawala wa Rais Somalia, Ni Baada ya Mashambulio ya Kigaidi

RAIS wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud Jumanne ameahidi kulitokomeza kabisa kundi la Al Shabab katika taarifa aliyoitoa kwa taifa tangu...

READ MORE

Elon Musk Ataka Mmiliki wa Twitter Kumtetea Mahakamani

BILIONEA namba moja duniani, Elon Musk amechukua hatua za kisheria kumwita mwanzilishi mwenza wa wa mtandao wa Twitter, Jack Dorsey...

READ MORE

Zaidi ya Nyaraka 300 za Siri Zakutwa Kwenye Makazi ya Trump

SERIKALI ya Marekani imekuta zaidi ya nyaraka 300 zenye alama ya siri nzito za serikali ya nchi hiyo, zikiwa kwenye...

READ MORE