×

Kimataifa

Watu 6 Wapoteza Maisha kwa Kukatwa Vichwa na Waasi Nchini Msumbiji

RAIS wa Msumbiji Fillipe Nyusi amesema wanamgambo wa kiislamu walioasi katika jimbo la Napula wamewakata vichwa watu sita (6) huku...

READ MORE

Liz Truss Aweka Mpango wa Kusaidia Waingereza Kukabiliana na Bei za Nishati

ILITANGAZWA wiki iliyopita kuwa bei kikomo ya nishati, ambayo inashughulikia idadi kubwa ya kaya za huko Uingereza, ingepanda kwa asilimia...

READ MORE

Zaidi ya Watu 60 Wauawa Nchini Ethiopia, Ripoti ya Uchunguzi Imebainisha

ZAIDI ya watu 60 wameuawa na wengine 70 kujeruhiwa mwishoni mwa Agosti, mwaka huu katika eneo la Oromia ambalo ni...

READ MORE

Kimbunga Hinnamnor Chaua Watu Saba Katika Maegesho ya Magari Nchini Korea Kusini

WATU saba nchini Korea Kusini wamefariki dunia baada ya kukwama katika eneo la maegesho ya magari chini ya ardhi wakati...

READ MORE

China Yaidhinisha Chanjo ya Corona ya Kuvuta Pumzi, Uingereza na Marekani Zaendelea na Uchunguzi

CHINA imekuwa nchi ya kwanza kuidhinisha chanjo ya Covid kwa kuvuta pumzi.   Imetengenezwa na CanSino, ina viambato sawa na...

READ MORE

Shambulio la Hivi Punde Lililoko Ukingoni mwa Magharibi la Majeshi ya Israel Lawaua Wapalestina

KATIKA shambulio lililokuwa likiendelea ukingoni mwa magharibi, wanajeshi wa Israel wamemuua mwanaume mmoja wa kipalestina wakiwa wanamsaka gavana wa Tubas....

READ MORE

Uwezo wa Nyuklia Kwenye Serikali ya Kigeni Yahusishwa Kwenye Hati ya Trump

GAZETI la Washington Post liliripoti kwamba miongoni mwa nyaraka zilizopatikana na maajenti wa FBI katika kituo cha mapumziko cha Rais...

READ MORE

Hatimaye Rais Mteule William Ruto Awasiliana na Rais Uhuru Kenyata Baada ya Kipindi Kirefu

NI muda ulipita tangu Rais mteule awasiliane na Uhuru Kenyata baada ya watu hao wawili kuhitirafiana kutokana na Uhuru kuamua...

READ MORE

Liz Truss Waziri Mkuu Mpya wa Uingereza Aahidi Kutokomeza Tatizo la Uchumi

Waziri mkuu mpya nchini uingereza aliongea katika hotuba yake ya mara ya kwanza tangu alipopata wadhifa wa kuwa Waziri mkuu...

READ MORE

Umoja wa Mataifa UN Wasema Wanawake 131 Walibakwa Ndani ya Miezi Mitatu Sudan Kusini

KATIKA ripoti iliyotolewa na Umoja wa mataifa UN pamoja na shirika la haki za binadamu imesema kuwa wanawake 131 walibakwa...

READ MORE

Mshukiwa wa Mauaji ya Watu 10 Waliouawa kwa  Kisu Canada Akutwa Akiwa Amefariki

MSHUKIWA mmoja wa mauaji ya watu 10 waliouawa kwa kuwachoma kisu anayeitwa Damien Sanderson mwenye umri wa miaka 31, amekutwa...

READ MORE

Wafuasi wa Odinga Nchini Kenya Wasema Watamuapisha Kuwa Rais Wao

BAADHI ya wafuasi wa ngome ya Raila Odinga iliyopo mjini Kisumu, wamesema wanatarajia kumuapisha Odinga kuwa Rais wa nchi hiyo...

READ MORE

Takribani Watu 35 Wafariki Dunia Nchini Burkina Faso, Serikali ya Mpito Imetangaza

Raia 35 wafaliki dunia na wengine 37 kujeruhiwa kaskazini mwa nchi ya Burkina Faso, chanzo cha janga hilo ni gari...

READ MORE

Viongozi wa Pakistani Wanajitahidi Kuzuia Ziwa Kubwa Zaidi Kufurika Kutokana na Mafuriko

katika mkoa wa kusini-mashariki wa Sindh viwango vya maji katika ziwa la Mancher vilionekana kupanda Zaidi na kuonekana kuwa vya...

READ MORE

Tetemeko Kuu la Ardhi China Lasababisha Watu kupotea, Waokoaji Wawatafuta

ZOEZI la kuendelea kuwaokoa watu nchini china linaendelea japokuwa kimbunga hicho kimeua watu wasiopungua 65 na wengine wengi kutoweka na...

READ MORE

Boris Johnson Aaga na Kukabidhi Mikoba kwa Waziri Mkuu Mpya Bi. Liz Truss

LEO septemba 6 waziri mkuu mpya wa uingereza atachukua madaraka rasmi kama Waziri mkuu Liz Truss anachukua nafasi ya Boris...

READ MORE

Safari ya Miaka 25 ya Raila Odinga Bila Matumaini ya Kushinda Kiti cha Urais Kenya

RAILA Odinga mgombea wa kiti cha uraisi  wa Azimio la Umoja alipoteza tena kwa mara ya tano dhidi ya mpinzani...

READ MORE

Rais Kenyatta Akosoa Uamuzi wa Mahakama wa Kutupilia Mbali Ombi la Raila Odinga

RAIS wa Kenya Uhuru Kenyatta ambaye anamaliza muda wake kama Rais wa nchi hiyo amesema atahakikisha wanakabidhiana madaraka kwa amani...

READ MORE

Salvini Asema Vikwazo ilivyowekewa Urusi Havifanyi Kazi  

KIONGOZI wa Chama cha mlengo nchini Italia Matteo Salvini, amezua gumzo nchini humo baada ya kusema kuwa vikwazo ilivyowekewa Urusi...

READ MORE

Watu 21 Wafariki Kutokana na Tetemeko la Ardhi Nchini China

TAKRIBANI watu 21 wamefariki dunia na wengine 30 kujeruhiwa baada ya tetemeko la ardhi kupiga katika Mji wa Kangding uliopo...

READ MORE

Uingereza Yapata Waziri Mkuu Mpya Ambaye ni Mrithi wa Boris Johnson

LIZ TRUSS ameshinda kinyang’anyiro na kuchaguliwa kuwa Waziri Mkuu Uingereza kupitia Chama cha Conservative. Liz ambaye alikuwa waziri wa mambo...

READ MORE

Barcelona Yaingiza Vipengele vya Kupunguza Mishahara Katika Mikataba ya Wachezaji

BARCELONA ilikumbwa na changamoto kubwa ya kifedha chini ya Rais wa zamani Josep Maria Bartomeu miaka miwili iliyopita, ambapo licha...

READ MORE

Mahakama Yatupilia Mbali Ombi la Odinga, Sasa Rasmi Ruto ni Rais Mteule wa Kenya

  MAHAKAMA Kuu ya Kenya imetupilia mbali ombi la aliyekuwa mgombea wa Urais wa Kenya kupitia Azimio la Umoja, Raila...

READ MORE

Polisi Wanawawinda Washukiwa Baada ya Mauaji Huko Saskatchewan Nchini Canada

POLISI nchini Canada wameanzisha msako mkali kuwasaka watu wawili wanaoshukiwa kuwaua kwa kuwachoma visu takriban watu 10 katika shambulio ambalo...

READ MORE

Watu 18 Wauawa na Magari Kuchomwa Moto katika Shambulio la Al shabab Nchini Somalia

WATU 18 wameuawa na kikundi cha Al Shabab ikiwa ni pamoja na kuchoma chakula kilichokuwa kinapelekwa katika Mji wa Mahan...

READ MORE

Watu 18 Wauawa katika Mashambulizi Dhidi ya Msikiti wa Afghanistan

TAKRIBANI watu 18 wameuawa na wengine 23 kujeruhiwa katika mashambulizi yaliyotokea katika msikiti mmoja mkubwa huko Herat Magharibi mwa Afghanistan....

READ MORE

Mamia ya Waombolezaji Wajitokeza Kumuaga Gorbachev, Putin Aingia Mitini

KUFUATIA kifo cha aliyekuwa Rais wa Urusi na mwanasiasa mkongwe ambaye anakumbukwa na mataifa ya magharibi kwa kumaliza vita baridi...

READ MORE

Nyuklia Yatumika Kupata Umeme Katika Umoja wa Falme za Kiarabu

KUTOKA nchni Emirate Kampuni inayoitwa Emirates Nuclear Energy Corporation (ENEC) wao wamekuja na njia ya tofauti ya kupata umeme, ambapo...

READ MORE

Makamu wa Rais wa Argentina Anusurika Kuuawa kwa Kupigwa Risasi

MAKAMU wa Rais wa Argentina, Cristina Fernandez de Kirchner amenusurika kuuawa baada ya mwanaume mmoja kujaribu kumshambulia kwa risasi.  ...

READ MORE

Watu 4 Wauawa Katika Mapigano ya Makundi Yanayohasimiana Nchini Iraq 

TAKRIBANI watu wanne wameuawa katika makabiliano kati ya wapiganaji wanaohasimiana yaliyotokea katika Mji wa Basra nchini Iraq huku makundi mbalimbali...

READ MORE

Mwalimu Afutwa Kazi Baada Ya Kushiriki Picha Mtandaoni Akiwa na Nguo za Kuogelea

HASIRA inaonekana kuunganisha jumuiya ya walimu huko Kolkata siku hizi, huku mitandao ya kijamii ikitawaliwa na madai ya kuchukuliwa hatua...

READ MORE

Daktari Wakujitolea wa Uingereza Auawa Ukraine, Ndugu Waomba Msaada Mwili Wake Kurejeshwa Nyumbani

DAKTARI wa kujitolea raia wa nchini uingereza Craig Mackintosh amepoteza maisha nchini Ukraine, Dada wa marehemu aitwae Lorna alisema kaka...

READ MORE

Uingereza Yaelekea Kupata Waziri Mkuu Mpya Wiki Ijayo 

UINGEREZA inaelekea kuwa na Waziri Mkuu mpya baada ya Waziri Mkuu wao wa zamani Boris Johnson kujiuzulu mwezi Julai kufuatia...

READ MORE

Mkuu wa Mafuta wa Urusi Maganov Afariki kwa Kuanguka Kutoka Dirisha la Hospitali

MWENYEKITI wa Kampuni kubwa ya mafuta ya Lukoil nchini Urusi, Ravil Maganov, amefariki dunia baada ya kuanguka kutoka kwenye dirisha...

READ MORE

Wabunge Kulipwa Mishahara Mikubwa DRC Congo Yazua Taharuki

WABUNGE wa DRC Congo wamezua taharuki kwa wananchi wao kwa kulipwa mishahara mikubwa karibuni dola 21,000 kwa mwezi bila kujali...

READ MORE

Hospitali Yashambuliwa kwa Makombora na Majengo Kuharibika Vibaya Ethiopia

VURUGU zimeongezeka nchini Ethiopia na kushambulia majengo mbalimbali likiwemo jengo moja la hospital iliyopo kwenye eneo la Mekele katika Jimbo...

READ MORE

Marubani kufanya Mgomo wa Kazi Baada ya Kushindwa Kupandishwa Mshahara

  MARUBANI katika shirika la ndege la Ujerumani la Lufthansa watafanya mgomo wa siku nzima hapo kesho Ijumaa. Mgomo huo...

READ MORE

Afghanistan Yasherehekea Uhuru Tangu Kuondoka kwa Majeshi ya Marekani

NI siku ya kuvutia katika mji wa Kabul nchini Afghanstan baada ya utawala wa Taliban kutangaza siku ya jumatano kua...

READ MORE

Muigizaji Maarufu wa Filamu ya Triangle of Sadness Charlbi Dean, Afariki Ghafla

MUIGIZAJI maarufu aliye tamba katika filamu ya Triangle of Sadness, Charlbi Dean amefariki ghafra siku ya juma tatu mjini newYork...

READ MORE

Vikosi vya Ukraine Vyashambulia Miundombinu Inayodhibitiwa na Majeshi ya Urusi

UKRAINE imedai kuwa imeshambulia na kuaribu kabisa madaraja, maghala ya silaha pamoja na vituo vya kuongoza shughuli za kijeshi katika...

READ MORE