×

Kimataifa

Rais Zuma Alazwa Hospitali

Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma amelazwa katika hospitali nje ya gereza kwa ajili ya kufanyiwa uangalizi wa...

READ MORE

Samaki Mwenye Meno ya Binadamu Azua Taharuki

Samaki asiye kuwa wa kawaida mwenye meno ya binadamu amekamatwa nchini Marekani. Picha ya samaki huyo ilisambazwa katika mtandao wa...

READ MORE

CNN Yawafuta Kazi Wafanyakazi Wake Ambao Hawajachanjwa

Shirika la habari nchini Marekani CNN limewafuta kazi wafanyikazi wake watatu kwa kwenda ofisini bila kupewa chanjo dhidi ya Covid,...

READ MORE

Bwana Harusi na Wageni Wake Wauawa na Radi

Radi nchini Bangladesh imewapiga na kuwaua wageni 17 waliohudhuria sherehe ya harusi moja nchini humo. Watu 14 wengine ikiwemo bwanaharusi ,...

READ MORE

Majenerali Waliopanga Kumuua Rais wa Madagascar Wakamatwa

MAOFISA wa kijeshi wa ngazi ya juu na polisi wamekamatwa nchini Madagascar kuhusiana na jaribio la kumuua rais lililotibuka. Waliokamatwa...

READ MORE

Delta Imeongeza Maambukizi ya Corona Duniani

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema Maambukizi ya virusi vya Corona yanaongezeka kutokana na...

READ MORE

Afia Gesti kwa Kunywa Vidonge vya Kuongeza Nguvu za Kiume

MWANAUME mmoja aliyejulikana kwa jina la Fredrick Opiyo mwenye umri wa miaka 50 amekutwa amefariki dunia katika nyumba ya kulala...

READ MORE

Rais Amfuta Kazi Waziri Mkuu, Asimamisha Bunge kwa Siku 30

Rais wa Tunisia, Kais Saied amemfuta kazi waziri mkuu wake, Hichem Mechichi na kusitisha shughuli zote za bunge kwa muda...

READ MORE

Zaidi ya Abiria 50 Watekwa Nyara na Majambazi

Zaidi ya abiria 50 wametekwa nyara na watu waliojihami kwa silaha nzito za kivita katika Jimbo la Sokoto nchini Nigeria. Mamlaka...

READ MORE

Maelfu Waandamana Kupinga Sheria za Corona

WATU 3,000  wameandamana nchini Italia kupinga sera za afya za serikali wakati kukianzishwa sheria kali za kudhibiti kuenea kwa virusi...

READ MORE

Fahamu Treni Yenye Kasi Zaidi Duniani, Yazinduliwa Rasmi

TRENI yenye uwezo wa kusafiri kwa kasi ya kilomita 600 kwa saa imezinduliwa katika eneo la Qingdao nchini China. Treni...

READ MORE

Chombo cha Nasa Kuchukua Sampuli Sayari ya Mars

WANASAYANSI wanasema ni fursa yao bora ya kubaini iwapo sayari Mars iliwahi kuhifadhi maisha viumbe ni kufanyia uchunguzi sehemu ya...

READ MORE

Mafuriko China, Hali Ni Mbaya, Vifo Vyaongezeka

IDADI ya watu waliopoteza maisha kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa katika Mkoa wa Hnan nchini China imeongezeka hadi...

READ MORE

Rais wa Madagascar Anusurika Kuuawa

Jaribio la kumuua Rais wa Madagascar, Andry Rajoelina limegonga mwamba ambapo watu kadhaa wanaodaiwa kuhusika na jaribio hilo wamekamatwa, mwendesha...

READ MORE

Idadi ya Vifo Yazidi Kuongezeka Mafuriko China, Mamia Wanaswa Kwenye Treni

IDADI ya watu waliopoteza maisha kutokana na mafuriko makubwa yaliyoikumba China, inazidi kuongezeka huku vikosi vya uokoaji vikifanya kazi ya...

READ MORE

Kirusi Delta Chaua Waliochanjwa Corona

WATU 259 wamefariki dunia nchini Uingereza kutokana na aina mpya ya kirusi cha corona kiitwacho DELTA. Kwa mujibu wa @DW_Kiswahili, watu...

READ MORE

Kirusi Kipya cha Corona “Delta” Chaua 116 Waliochanjwa

WATU 259 wamefariki dunia nchini Uingereza kutokana na aina mpya ya kirusi cha corona kiitwacho DELTA. Kwa mujibu wa @DW_Kiswahili,...

READ MORE

Waliovamia Bunge la Marekani Wahukumiwa

KWA mara ya kwanza hukumu ya kifungo cha gerezani imetolewa kwa mtu aliyehusika na uvamizi wa jengo la bunge na...

READ MORE

Rais Ashambuliwa kwa Kisu Msikitini

Rais wa Mali, Kanali Assimi Goïta yuko salama baada ya mshambuliaji aliyekuwa amejihami kwa kisu kumshambulia katika msikiti wa Bamako-Grande...

READ MORE

Zuma Kutolewa Gerezani?

RAIS wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma anaweza kutolewa gerezani kwa dharura ili aweze kuhudhuria mazishi ya kaka yake,...

READ MORE

Tanki la Mafuta Laua Watu 13

Watu wapatao 13 wamefariki dunia baada ya tangi la mafuta ya petroli kulipuka huko magharibi mwa Kenya, usiku wa kuamkia...

READ MORE

Hili Ndo Gari la Gharama Zaidi Duniani, Sawa na Nyumba 600

KUMILIKI gari zuri, yawezekana ni ndoto ya kila mtu duniani, pamoja na mambo mengine kama nyumba, ardhi, kazi na vitu...

READ MORE

Mjane wa Rais Aliyeuawa Arejea Haiti

  MJANE wa rais aliyeuawa Haiti, Jovenel Moise amerudi nyumbani baada ya kutibiwa majeraha aliyoyapata katika shambulio. Waziri wa mawasiliano...

READ MORE

Watu 212 Wauawa Kwenye Ghasia Afrika Kusini

IDADI ya waliokufa kutokana na ghasia zinazoendelea nchini Afrika Kusini imepanda na kufikia watu 212 kutoka vifo 117 vilivyoripotiwa siku...

READ MORE

Kigogo Jeshi la Polisi Auawa

WATU wasiojulikana nchini Nigeria wamempiga risasi na kumuua mmoja wa vigogo wa jeshi la nchi hiyo, Meja Jenerali Hassan Ahmed....

READ MORE

Hali ya Watanzania Afrika Kusini

Balozi wa Tanzania nchini Afrika ya Kusini, Meja Jenerali (Mst) Gaudence Milanzi, amesema kuwa hadi sasa bado hajapokea taarifa rasmi...

READ MORE

Mafuriko Yaua Watu 120 Ujerumani

ZAIDI ya watu 120 wamekufa kufuatia mafuriko makubwa katika maeneo ya magharibi mwa Ujerumani na Ubelgiji, operesheni zinaendelea za kuwatafuta...

READ MORE

Askari Polisi Auawa

ASKARI Polisi wa Kenya Caroline Kagongo ambaye amekuwa akisakwa kwa wiki mbili kwa tuhuma za kuua watu wawili wanaodaiwa kuwa...

READ MORE

Pisi Kali Adaiwa Kuua Danga Lake

MIONGONI mwa visa vizito vilivyojiri wiki iliyopita, kipo kisa cha mmoja wa warembo ambao siku hizi wamepewa jina la ‘pisi...

READ MORE

Anayedaiwa Kuua Watoto 10 kwa Kuwafyonza Damu Akamatwa

Polisi nchini Kenya wanamshikilia Masten Wanjala (20) anayedaiwa kuua watoto kwa nyakati tofauti aliokuwa akiwakuta wakicheza na kuwahadaa kisha kuwaua...

READ MORE

Mshangao! Ndama Azaliwa na Miguu Miwili

Maisha ya binadamu na viumbe wengine waliohai yanategemeana ndiyo maana tunasisitizwa kupanda miti ambayo inatupatia hewa ya oksijeni wakati huohuo...

READ MORE

Mafuriko Ujerumani Yaua Zaidi ya Watu 21

Takribani watu 21 wamefariki dunia huku wengine wengi wakiwa hawajulikani walipo, kufuatia mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha Magharibi...

READ MORE

Wanajeshi 25,000 Kuongezwa Kudhibiti Vurugu Afrika Kusini

SERIKALI ya Afrika Kusini inajiandaa kuwapeleka kwenye sehemu mbalimbali nchini humo wanajeshi wapatao 25,000 kwa ajili ya kudhibiti ghasia zinazoendelea...

READ MORE

Waandamanaji Afrika Kusini Wapora Chanjo za Covid

Mamlaka ya Usimamizi wa Maduka ya Madawa Afrika Kusini (SACP), imeelezwa kusikitishwa kwake na vitendo vya waandamanaji nchini Afrika Kusini,...

READ MORE

Papa Francis Aruhusiwa Kutoka Hospitali

Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis ameruhusiwa kutoka katika Hospitali ya Gemelli, Roma nchini Italia alikokuwa akitibiwa, zikiwa ni...

READ MORE

Ghasia Afrika Kusini: Vifo Vyafikia 72

WATU wapatao 72 wameuawa na zaidi ya watu 800 wamekamatwa katika ghasia hizo zilizoanza kama maandamano alhamisi iliyopita kupinga kwenda...

READ MORE

Wagonjwa 50 wa Corona Wafariki kwa Moto

Zaidi ya watu 50 wamekufa baada ya moto kuzuka katika wodi ya wagonjwa wa Corona katika hospitali nchini Iraq. Moto katika...

READ MORE

Uporaji, Machafuko Yaendelea Afrika Kusini

Maandamano yenye ghasia yameendelea nchini Afrika Kusini usiku kucha na Jumatatu asubuhi juu ya kufungwa jela kwa rais wa zamani...

READ MORE

Mke wa Rais wa Ghana Kurejesha Mkwanja wa Marupurupu

MKE wa rais wa Ghana anataka kurejesha fedha za marupurupu anayopatiwa tangu rais aingie madarakani mwaka 2017, baada ya wananchi...

READ MORE

Ndege ya Uganda Yaishiwa Mafuta Dar

ABIRIA wanaokwenda Uganda kwa kutumia ndege ya Shirika la Uganda Airlines walichelewa kuondoka jana jioni katika uwanja wa ndege wa...

READ MORE