×

Kimataifa

Ufahamu ‘Mji wa Mashetani’ Libya

Kama mtu mzima wa familia, Abdel Manaam Mahmoud hakuwa na budi zaidi ya kuzika mwili wa kaka yake Esmail katika...

READ MORE

Bibi wa Obama Azikwa Kenya

SARAH Obama ambae ni Bibi wa Rais Mstaafu wa Marekani Barack Obama, amezikwa jana Machi 30, nyumbani kwake Kogelo, Siays...

READ MORE

Biden Alaani Mauwaji Myanmar

RAIS wa Marekani Joe Biden, amekosoa vikali  umwagikaji damu unaoendelea nchini Myanmar unaodaiwa kufanywa na jeshi na uliosababisha vifo vya...

READ MORE

Virafanga 185 vya Kobe Vayakamatwa Vikisafirishwa

Maafisa wa forodha nchini Ecuador wamepeta watoto 185 wa kobe waliokuwa wamefichwa ndani ya begi lililokuwa likisafirishwa kutola visiwa vya...

READ MORE

Tanzia: Nabii Bushiri Ailaumu Serikali Kifo cha Mwanaye

MHUBIRI maarufu wa Afrika wa Kanisa la Enlightened Christian Gathering (ECG) la kutoka Malawi, Shepherd Bushiri, ametangaza kifo cha binti...

READ MORE

Obama Aomboleza Kifo cha Bibi Yake

Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama amesema yeye binafsi na familia yake wanaomboleza kifo cha bibi (nyanya) yao, Sarah...

READ MORE

Rais Museveni na Mkewe Wadungwa Chanjo ya Corona

Hatimaye Rais wa Uganda Yoweri Museveni na mkewe mama Janet Museveni wamepata chanjo yao ya Covid-19. Mwanahabari wa Rais Yoweri...

READ MORE

Meli ya Evergreen Yakwama na Shehena ya Mizigo

Meli ya ‘Ever Green’ inayomilikiwa na Kampuni ya ‘Evergreen Marine Corporation’ kutoka nchini Taiwan imekwama katika mfereji wa ‘Suez’ uliopo...

READ MORE

Urusi: Wasiwasi Waibuka Afya ya Mpinzani wa Rais Putin Gerezani

Lithuania, Latvia na Estonia ambazo ni Wanachama wa Umoja wa Ulaya (EU) zimeitaka Urusi kuruhusu kutolewa kwa huduma za Afya...

READ MORE

Ujerumani Kufungua Maduka Sikukuu ya Pasaka

KANSELA  wa Ujerumani Angela Merkel amebadilisha uamuzi wake wa kuzuia shughuli za kiuchumi katika kipindi cha msimu wa sikukuu ya...

READ MORE

Bilionea Gertler, Swahiba wa Kabila Aliyewekewa Vikwazo na Marekani

Utawala wa Biden hivi karibuni umemuwekea tena vikwazo mfanyabiashara wa Israeli Dan Gertler juu ya madai ya ufisadi mkubwa kwenye...

READ MORE

Waziri wa Afya wa Ujerumani Kuchunguzwa Kashfa ya Barakoa

Waziri wa afya wa ujerumani Jens Spahn anaingia kwenye msururu wa wanasiasa wanaotajwa kuhusika na sakata la kunufaika na manunuzi...

READ MORE

Mgombea wa Urais Afariki kwa Covid 19

Mgombea wa urais wa Upinzani nchini Congo – Brazaville amefariki dunia kwa ajili ya Covid 19Guy Brice Parfait Kolelas, mmoja...

READ MORE

Malkia Elizabeth Amlilia Rais Magufuli

Ujumbe kutoka kwa Malkia Elizabeth wa Uingereza pamoja na familia yote ya kifalme imetuma salamu za rambirambi kwa Tanzania.  ...

READ MORE

FIFA Yamlilia Rais Magufuli

Jumuiya ya soka kimataifa ‘FIFA’ limetuma salama za rambi rambi kwa shirikisho la soka nchini TFF kufuatia kifo cha Rais,...

READ MORE

Korea Yakataa Mazungumzo na Marekani

Korea Kaskazini imesema itapuuza pendekezo la Marekani kukaa katika meza ya mazungumzo hadi pale itakapofuta sera yake ya kikatili dhidi...

READ MORE

Odinga Amuomboleza Swahiba Wake Magufuli

Aliyekuwa waziri mkuu nchini Kenya na kiongozi wa upinzani Raila Odinga ametuma risala za rambirambi kwa familia ya rais John...

READ MORE

Wanamgambo ‘Wawakata Vichwa Watoto’

KWA mujibu wa Shirika la Kimataifa la Save the Children linasema watoto wadogo wa hadi miaka 11 wanauawa kwa kuchinjwa...

READ MORE

Mabaki ya Kipekee ya Biblia Yapatikana Pangoni

MABAKI ya machapisho ya Biblia ya kale imepatikana katika kile maafisa wametaja kuwa “uvumbuzi wa kihistoria” katika mapango ya jangwani...

READ MORE

Korea Kaskazini Yaionya Marekani

Dada mwenye ushawishi mkubwa wa kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un, Kim Yo Jong ameikosoa hatua inayoendelea ya mazoezi...

READ MORE

Aliyemuua Mumewe Ahukumiwa Jela Siku 1, Mwenyewe Ashangaa

MWANAMKE mmoja kutoka Kaunti ya Siaya ambaye ameingia kwenye headlines kwa kufungwa jela kwa siku moja baada ya kukutwa na...

READ MORE

Museveni Amshutumu Bobi Wine Kuiba Kura

KWA mara ya kwanza Rais Yoweri Museveni wa Uganda amekituhumu chama cha siasa cha NUP kwa kuhusika na vitendo vya...

READ MORE

Bobi Wine Akamatwa Polisi, Waandamanaji Wafyatuliwa Mabomu

MWANASIASA wa Uganda ambaye pia alikuwa mgombea urais wa chama cha upinzani Robert Kyagulanyi, maarufu kama Bobi Wine, amekamatwa katika...

READ MORE

Museveni Akanusha Kupewa Chanjo ya Covid 19

RAIS wa Uganda Yoweri Museveni amesema bado hajaruhusu wataalamu wa afya wampe chanjo ya Corona na wala Mkewe Janeth Museveni...

READ MORE

Rais Aruhusu Wanajeshi Kuwapiga Risasi Wamiliki AK-47

RAIS Muhammadu Buhari ametoa agizo kwa Wanajeshi wa #Nigeria kwa kuwapa ruhusa ya kuwapiga risasi bila kuhitaji kibali, Watu wote...

READ MORE

Familia ya George Floyd Kulipwa Bilioni 63

Baraza la #Minneapolis limeidhinisha makubaliano ya kuilipa familia ya George Floyd kiasi cha dola milioni 27 (takriban Tsh. Bilioni 63)...

READ MORE

Rais wa Msumbiji Awafuta Kazi Wakuu wa Majeshi

Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi amewafuta kazi wakuu majeshi wa ardhini na angani wakati nchi inapokabiliana na wanamgambo wa Islamic...

READ MORE

Tanzia: Mfalme wa Wazulu Afariki Dunia

Mfalme wa Wazulu wa Afrika Kusini, Goodwill Zwelithini amefariki katika Hospitali ya KwaZulu-Natal alipokuwa anatibiwa Kisukari. Mfalme Zwelithini ameugua kwa...

READ MORE

Tanzia: Aliyevumbua Kaseti Afariki Dunia

INJINIA wa Uholanzi, Lou Ottens, aliyesifika kwa kubuni kaseti ya sauti, amefariki akiwa na umri wa miaka 94. Inakadiriwa kuwa...

READ MORE

Afungwa Siku Moja kwa Kumuua Mume Wake

MAHAKAMA nchini Kenya imemhukumu kifungo cha siku moja mwanamke aliyemuua mume wake mwaka mmoja uliopita, Kwa mujibu wa gazeti la...

READ MORE

Rais Kagame, Mkewe Wachanjwa Kinga ya Covid19

RAIS wa Rwanda, Paul Kagame na mkewe Jeannette Kagame wamepokea chanjo ya corona katika Hospitali ya Mfalme Faisal jana Alhamisi,...

READ MORE

Denmark Yasitisha Chanjo ya Covid 19

NCHI ya Denmark,  imesitisha utoaji wa chanjo ya Oxford-AstraZeneca kwa muda wa wiki mbili ili kuchunguza ripoti za baadhi ya...

READ MORE

Raila Odinga Awatoa Hofu Wakenya “Niko Fiti”

Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga, amesema hali yake ni nzuri na anafuata ushauri wa madaktari kwa kupumzika.  ...

READ MORE

Uganda Yaanza Kampeni ya Chanjo ya Covid-19

Uganda imeanza kampeni ya chanjo dhidi ya ugonjwa wa Covid-19 siku ya Jumatano baada ya kupokea dozi 864,000 ya chanjo...

READ MORE

Malyasia: Wakristo Ruksa Kutumia Jina ‘Allah’

Mahakama ya Malyasia imebadilisha sera inayopiga marufuku watu wa dini ya Kikristo kutumia jina ‘Allah’ kumaanisha Mungu, ikiwa ni hatua...

READ MORE

Waziri Mkuu wa Ivory Coast Afariki Dunia

Waziri Mkuu wa Ivory Coast, Hamed Bakayoko, amefariki dunia katika hospitali moja nchini Ujerumani, mamlaka imesema.     Bakayoko, aliyekuwa...

READ MORE

Malkia Elizabeth Amjibu Prince Harry

SIKU chache tangu Prince Harry na mkewe Duchess Meghan kufanya mahojiano na Oprah Winfrey, Malkia wa Uingereza Elizabeth II amemjibu...

READ MORE

Mvuvi Aliyekula Samaki wa Tsh Bil 6 Bila Kujua, Ajuta!

SHIRIKA  la habari la @cnbc limeripoti kuwa mvuvi mmoja katika kijiji cha Warri, jimbo la Niger Delta nchini Nigeria amevua...

READ MORE

Aliyemkata Panga Mwalimu Mwenzake Kisa Penzi la Mwanafunzi Kortini

MWALIMU wa Shule ya Upili ya Wasichana ya Karoti katika Kaunti Ndogo ya Mwea, Mashariki nchini Kenya, Timothy Musembi (34)...

READ MORE

Ubaguzi Familia ya Malkia Waibua Mazito Meghan, Harry

MEGHAN Markle na Prince Harry katika interview mpya na Oprah Winfrey wamesema hata kabla mtoto wao hajazaliwa baadhi ya wanafamilia...

READ MORE