×

Kitaifa

Watanzania Kuingia Kenya Bila Kuwekwa Karantini

SERIKALI ya Kenya imetoa orodha ya nchi 147 ambazo raia wake wataruhusiwa kuingia nchini humo bila kukaa karantini ambapo kwenye...

READ MORE

JPM Aagiza Mkuu Shule Iliyoteketea Kagera Aachiwe

SELEMAN ABDUL, Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Byamungu Islamic, iliyopo Kyerwa mkoani Kagera, ametetewa na Rais Dkt. John Pombe...

READ MORE

Membe: Wapinzani Tumekumbwa na Ukata

BERNARD Membe, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, amesema mazingira magumu ya siasa kwa sasa, yamesababisha marafiki na...

READ MORE

Tanzia: Kamanda Shana Afariki Dunia

ALIYEKUWA Ofisa Mnadhimu wa Chuo cha Polisi Moshi (CCP), Jonathan Shana, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumatano, Septemba 16,...

READ MORE

Alichokisema Mkurugenzi wa NEC kwa Wanahabari

Hotuba ya Mkurugenzi Uchaguzi Dkt. Wilson Mahera Charles katika ufunguzi wa Kikao cha Tume ya Taifa ya Uchaguzi na watoa...

READ MORE

Nchi 15 Kutuma Waangalizi wa Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

Nchi 15 kupitia Balozi zao hapa nchini zimeruhusiwa kuleta waangalizi wa Kimataifa katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 28, 2020...

READ MORE

Kortini Wakituhumiwa Kuhujumu Uchumi, KutakatishaFedha

WATU watatu wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka matano ikiwemo kosa la uhujumu uchumi na...

READ MORE

EU Kuipa Tanzania Bilioni 70 Kupambana na COVID19

Umoja wa Ulaya (EU) umesema uko tayari kutoa Euro 27 milioni (TZS 70 bilioni) kwa serikali ya Tanzania kwa lengo...

READ MORE

Wamiliki wa Pool Table Waagizwa Kuzisajili

Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (GBT) imewataka wamiliki wote wa pool tables kuhakikisha zinasajiliwa na kupatiwa leseni.   GBT...

READ MORE

Magufuli Aahidi Kujenga Uchumi Unaojitegemea

MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),  John Magufuli, amesema dhamira yake ni kuijenga nchi katika uchumi wa kujitegemea, kwa...

READ MORE

Mgombea Urais Kufuta Kodi Majengo, NIDA, Pasipoti Bure

MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama cha Union for Multiparty Democracy (UMD), Mohamed Mazrui, amesema iwapo atapata ridhaa ya kuongoza...

READ MORE

Magufuli: Dkt. Bashiru Alikuwa Muuza Ndizi Kemondo – Video

MGOMBEA urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Magufuli,  amesema kuwa mkoa wa Kagera...

READ MORE

JPM: Muleba Mna Mabishano Yenu Yanawapa Shida – Video

MGOMBEA urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Magufuli amewaonya wananchi wa Muleba Kusini...

READ MORE

IGP Sirro: Damu ya Mtanzania Haiendi Hovyo

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro, amesema kuwa licha ya kwamba chanzo cha moto ulioteketeza bweni la...

READ MORE

Mgombea Ubunge Zanzibar, Turky Afariki Dunia

  ALIYEKUWA Mbunge wa Jimbo la Mpendae Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia alikuwa anatetea kiti...

READ MORE

Mgombea Urais Ndege Kila Mkoa

Chama cha Sauti ya Umma (SAU) kimezindua Ilani na kampeni zake kwa ajili uchaguzi unaotarajia kufanyika Oktoba 28, mwaka huu,...

READ MORE

Majaliwa Aongoza Maziko ya Jaji Bomani – Pichaz

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameongoza maziko ya aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hayati Mark Bomani kwa niaba ya Rais Dkt....

READ MORE

CHADEMA Yaandika Barua NEC

KATIBU  Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),  John Mnyika,  amesema chama hicho kimeiandikia barua Tume ya Uchaguzi ya...

READ MORE

Kilichotokea Mahakamni Kesi ya Lissu

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, leo Septemba 14, 2020, imeahirisha kesi inayowakabili Tundu Lissu na wenzake...

READ MORE

JPM: Airport ya Chato Nitakwenda Nayo Kaburini? – Video

MGOMBEA urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (CCM), Dkt. John  Magufuli amewaponda baadhi ya viongozi na wagombea wanaotoka vyama...

READ MORE

Magufuli: Nimealikwa Kwenda Ulaya, Siendi – Video

MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (CCM), Dkt. John Pombe Magufuli amesema kuwa kazi ya urais si nyepesi,...

READ MORE

Breaking: Watoto 10 Wafariki Shule ya Byamungu Islamic Ikiteketea

BWENI la wavulana wa Shule ya Msingi Byamungu Islamic English Medium iliyopo Itera, Kyerwa, mkoani Kagera limeteketea kwa moto usiku...

READ MORE

JPM na Museveni Wasaini Mkataba Ujenzi Mradi wa Bomba la Mafuta -Video

  Rais John Magufuli wa Tanzania na Rais Yoweri Museveni wa Uganda  leo  Septemba 13, 2020 wamesaini makubaliano ya kuanza...

READ MORE

Waziri Mkuu Ashauri Hospitali zinazotibu Saratani kuwa na Wodi Maalum

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameziagiza hospitali zote za rufaa ambazo zinatoa matibabu ya ugonjwa wa saratani kwa watoto...

READ MORE

OFM Yanasa Siri Bifu la Wema, Batuli

UNAJUA bifu la msanii Wema Sepetu na Yobnesh Yusuph Hassan ‘Batuli’, lililoteka mitandao ya kijamii mwishoni mwa wiki iliyopita, limetokana...

READ MORE

Benki ya NMB yadhamini CDF Trophy Cup 2020 kwa Sh. Mil. 40

  Benki ya NMB imetangaza kudhamini Michuano ya Gofu – Kombe la Mkuu wa Majeshi ‘CDF Trophy Cup 2020’, inayotarajia...

READ MORE

Corona Yachangia Ongezeko La Watu Kujiua

Kujiua (Suicide) ni mojawapo ya vyanzo vya kifo kwa watu wenye matatizo ya kisaikolojia au matatizo ya akili. Jaribio la...

READ MORE

Mgombea Urais Adaiwa Kuondoka Nchini – Video

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole, amedai kuwa mmoja wa wagombea urais wa Jamhuri...

READ MORE

Uchaguzi Ukifanyika Leo JPM Anashinda Kwa Asilimia 88-Polepole

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Humphrey Polepole amesema kwa namna ambavyo mgombea wa nafasi...

READ MORE

Polepole: Magufuli Anashinda Asilimia 85, Upinzani Watauza Madini – Video

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole amesema kwa tafiti walizofanya kutokana na kampeni za...

READ MORE

Tanzia: Jaji Bomani Afariki Dunia

Jaji Mstaafu Mark Bomani ambaye alikuwa Mwanasheria Mkuu wa kwanza wa Tanzania amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Septemba 11,...

READ MORE

NEC Yamrejesha Meya Jacob Ubunge Ubungo

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imekubali rufaa 13 na imewarejesha katika orodha ya wagombea Ubunge wagombea 13 baada ya...

READ MORE

Jamaa Mwenye ‘Sura Mbaya’ Zaidi Duniani, Aoa Mke wa Tatu

Katika njia nyingine ya kuthibitisha kuwa mapenzi ni upofu, Mchekeshaji maarufu nchini Uganda, Godfrey Baguma almaarufu kama ‘Ssebabi’, ambaye hutambulika...

READ MORE

Basi Lapinduka Mbeya, Watu 22 Wajeruhiwa

BASI la abiria lenye namba ya usajili T.629 CQC Scania lililokuwa likitokea Mbeya kwenda Mwanza limeacha njia na kupinduka kisha...

READ MORE

Tabora: Miili ya Watu 8 Yakutwa Imeteketea Hifadhini

WATU wanane, kati yao watatu wanaokadiriwa kuwa na umri wa miaka 25 mpaka 40,  na watoto watano  wanaokadiriwa kuwa na...

READ MORE

Kansa ya Macho Yamtesa Mtoto wa Mwaka Mmoja

Hujafa hujaumbika! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mtoto Rehema Baraka, mwenye umri wa miezi (11) mkazi wa Kibaha mkoani Pwani,...

READ MORE

Kinachondelea Msiba wa Mama wa P Funk

FAMILIA ya mtayarishaji wa muziki wa Bongo Fleva,  Paul Matthysse ‘P Funk Majani’,  ambao wamempoteza mama yao, Aunt Sheilah, juzi...

READ MORE

Aliyeua Mwalimu, Afariki

FRANK Galimoshi (30), mkazi wa kata ya Chala wilayani Nkasi mkoani Rukwa, amefariki dunia usiku wa kuamkia Septemba 3 mwaka...

READ MORE

Mama Mbaroni kwa Tuhuma za Kumchinja Mtoto Wake

Mkazi wa mji mdogo wa Ngaramtoni, wilayani Arumeru mkoani Arusha, Anna Maliaki (30) anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma...

READ MORE