×

Kitaifa

Prof. Tibaijuka Aaga Rasmi Bungeni

MBUNGE wa Muleba Kusini, Balozi Profesa Anna Tibaijuka, jana Aprili 3, 2020, amewaaga rasmi Wabunge wenzake na kusema Bunge lijalo...

READ MORE

Mmoja wa Waasisi wa ACT Wazalendo Atimkia NCCR Mageuzi – Video

NDUGU wana habari, kwa majina naitwa Wiston Mogha niliyekuwa mwanachama wa ACT- Wazalendo. Mnamo Machi 18, 2020 nilijivua uanachama wa...

READ MORE

Kisa Utani wa Corona, Masanja Aitwa Kuhojiwa

MKUU wa Wilaya Dodoma, Patrobas Katambi,  amempa siku tatu muigizaji maarufu nchini, Emmanuel Mgaya maarufu kama Masanja Mkandamizaji kujisalimisha kituo...

READ MORE

Mama Lishe Wachuana Kupika Chapati, Utashangaa!

AKINAMAMA Lishe wa Soko la Ilala jijini Dar es Salaam, leo Ijumaa, Aprili 3, 2020, wametoana jasho katika Shindano la...

READ MORE

Ummy: Mwingine Apona Corona, Leo Hakuna Wagonjwa Wapya

WAZIRI wa Afya nchini Tanzania, Ummy Mwalimu, amesema kuwa mgonjwa mwingine aliyekuwa na maambukizi ya virusi vya corona nchini amepona....

READ MORE

Maambukizi ya Corona Yafikia Milioni 1, Marekani Hali ni Mbaya

UGONJWA wa Covid-19 unaendelea kuathiri nchi mbalimbali duniani, huku maambukizi ya ugonjwa huo duniani kupitia virusi vya Corona yakifikia milioni...

READ MORE

Mlinzi wa Mahakama Atuhumiwa Kubaka Mwanafunzi Mahakamani

JESHI la Polisi mkoa wa Shinyanga linamshikilia Joseph Masanja (58) mlinzi wa mahakama ya hakimu mkazi wilaya ya Shinyanga kwa...

READ MORE

Corona: Wageni Waongezewa Muda Kukaa Tanzania

KUTOKANA  na mlipuko wa ugonjwa unaosababishwa na virusi vya Corona  — #Covid-19 — na baadhi ya wasafiri kushindwa kusafiri kurudi...

READ MORE

Njemba Anusurika Kuuawa kwa tuhuma za Mauaji

JAMAA mmoja ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja, amejikuta matatani baada ya kusukumiwa madai ya mauaji.   Tukio hilo...

READ MORE

Mpangaji Auza Nyumba, Bibi Aangua Kilio – Video

Ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni, huu ni msemo unaotumiwa na watu wengi hasa wanapopatwa na majanga kama yaliyomkuta Bibi,...

READ MORE

Ushauri Mzito Watolewa Kifo Cha Corona Bongo

KUFUATIA kifo cha kwanza nchini kilichosababishwa na virusi vya Corona, Daktari wa Hospitali ya Temeke jijini Dar, Dk Godfrey Chale...

READ MORE

Matukio Katika Picha Ziara ya Mhe. Jaji Kiongozi Mahakama-Pwani

    (Picha na Rashid Omar, Mahakama ya Hakimu Mkazi-Pwani)

READ MORE

“Pumzi Inatokea Mgongoni, Mume Kanikimbia” – Video

GLOBAL JAMII WIKI HII tumepata nafasi ya kukutana na Magreth Mwenye umri wa miaka 38 ambaye anatatizo la kukosa nguvu...

READ MORE

Corona: Mwanri Aagiza Wanaofundisha ‘Tuisheni’ Wasakwe

MKUU wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri, ameagiza kuwasakwa kwa walimu ambao wamekuwa wakiwakusanya wanafunzi kwa ajili ya kufundisha tuisheni...

READ MORE

Corona: Mwanri Asimamisha Likizo za Waganga, Wauuguzi

MKUU wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri, amesimamisha kwa muda likizo za watumishi wakiwemo wa idara za afya ili waendelee...

READ MORE

Corona: Watu 84 Karantini Tunduma

Katika kutekeleza maagizo ya serikali ya kuhakikisha wasafiri wote wanaotoka katika nchi zenye maambukizi Zaidi ya Virusi vya Corona wanatengwa,...

READ MORE

Spika Ndugai: ‘Tushamalizana na Lissu’

SPIKA  wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai,  amesema madai ya upinzani kuwa aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu,  hajamaliziwa...

READ MORE

Ndugai Akataa Hotuba ya Upinzani Kusomwa Bungeni – Video

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tanzania, Job Ndugai, amezuia kusomwa kwa hotuba  ya Kambi Rasmi ya...

READ MORE

Wasaidizi wa Kisheria Zanzibar Wapewa Mafunzo Jinsi ya Kutoa msaada wa Sheria

  Zaidi ya wasaidizi wa kisheria 100 wamepewa mafunzo kuhusu sheria zilizopo, kanuni, miongozo na sera ambazo zinahusiana na kazi...

READ MORE

Simanzi! Safari ya mMwisho ya Marin Hassan wa TBC – Video

INASIKITISHA! Simanzi, vilio na majonzi vimetawala kwenye tasnia ya habari kufuatia kifo cha mwandishi mwandamizi wa habari kutoka Shirika la...

READ MORE

Tito Magoti Ahofia Corona Gerezani “Mrundikano ni Mkubwa” – Video

Mshtakiwa Tito Magoti anayekabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi ameiambia mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa wanajawa na hofu kubwa...

READ MORE

Makonda: Bodaboda, Bajaji Ziingie Mjini

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul makonda leo April Mosi ameruhusu Pikipiki na Bajaji kuingia katikati ya...

READ MORE

Mwingine Akutwa na Corona Dar, Wagonjwa Wafikia 20

WIZARA ya Afya leo Jumatano, Aprili 1, 2020 imethibitisha kuwepo kwa kesi ya mpya maambukizi ya Virusi vya Corona (COVID-19)...

READ MORE

Wasomaji Betika Waapa Kuendelea Kulisoma

Leo ikiwa ni  Aprili Mosi ya Jumatano, mwaka huu  wasomaji wa Gazeti la Betika wamesema kuwa  wataendelea  kulisoma gazeti hilo...

READ MORE

Rais JPM Amlilia Marin Hassan wa TBC

Rais Dkt. John Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayub Rioba...

READ MORE

Tanzia: Marin Hassan wa TBC Afariki Dunia

NGULI wa habari nchini aliyekuwa akifanya kazi katika Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Marin Hassan Marin, amefariki dunia leo Aprili...

READ MORE

Ndugai; Tusiwaige Wazungu Kupambana na Corona

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai amesema kuwa kama nchi haiwezi kuchukua tahadhari kama zilivyochukuliwa...

READ MORE

Mdee Ashauri Wabunge Wote Wapimwe Corona

MBUNGE wa Jimbo la Kawe (Chadema) na Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la chama hicho, Halima Mdee, amelishauri bunge  kuwapima...

READ MORE

Meya Iringa Aliyevuliwa Cheo Akabidhi Ofisi

ALIYEKUWA Meya wa Manispaa ya Iringa, Alex Kimbe leo Jumanne, Machi 31, 2020, amekabidhi ofisi pamoja na gari alilokuwa akitumia...

READ MORE

Mrithi wa Maalim Seif CUF Afariki Dunia

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Khalifa Suleiman Khalifa,  amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumanne Machi 31 2020,...

READ MORE

Eric Shigongo: Maoni Yangu Kuhusu Corona

MARA nyingi nimeongea na watu ninaofanya nao kazi kwanba sifa ya kiongozi bora ni kuwa na uwezo wa kulitatua tatizo...

READ MORE

Mgonjwa wa Kwanza wa Corona Afariki Tanzania

WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Wazee na Watoto,  imethibitisha kifo cha kwanza cha mgonjwa wa virusi vinavyotokana...

READ MORE

Stamina: Naweza Kusimama Bila Roma

RAPA mkali Bongo, Bonventure Kabogo ‘Stamina Shorwe-bwenzi’ amejimwambafai kuwa, anaweza kusi-mama mwenyewe bila rapa mwenzake, Ibrahim Mussa ‘Roma Mkatoliki’ wanaounda...

READ MORE

Corona: Hakuna Maswali ya Papo kwa Hapo kwa Waziri Mkuu

VIKAO vya Bunge la bajeti kuu vinavyoanza leo Machi 31, 2020, huku utaratibu mpya ukiwekwa juu ya tahadhari ya Corona...

READ MORE

Walioambukizwa Corona Tanzania Wafikia 19

WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu,  amesema wagonjwa wa corona nchini Tanzania wamefikia 19, baada ya watano kuongezeka leo Jumatatu Machi...

READ MORE

Mtoto Mkubwa wa Sokoine Kuzikwa Kesho Monduli

MTOTO wa kwanza wa waziri mkuu wa zamani, Edward Moringe Sokoine, Lazaro Sokoine (pichani kushoto), aliyefariki dunia Jumamosi Machi 28,...

READ MORE

Aliyekuwa Mhasibu wa Tanroads Adaiwa Kujitwanga Risasi

MHASIBU wa zamani wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) Mkoa wa Ruvuma, Justin Rwendera amefariki akidaiwa kujiua kwa kujipiga risasi...

READ MORE

Zitto Aanika Mambo Mazito Kuhusu Corona – Video

KIONGOZI Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, ametoa mapendekezo manane kupitia barua aliyomwandikia Rais John Magufuli, kuhusu nini kifanyike...

READ MORE