×

Kitaifa

IGP Sirro: Ukiona Mkeo au Mmeo Anabadilika Tupe Taarifa – Video

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Simon Sirro amesema kuwa kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Rwanda wameazimia kukabiliana...

READ MORE

Majaliwa: Mwakinyo na Kiduku Tunasubiri Wazichape – Video

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema Tanzania inalisubiria kwa hamu pambano la mabondia ambao wamekuwa wakitunishia misuli mara kwa mara, Twaha...

READ MORE

Msigwa Aanika Meseji Alizochati na Hans Pope Kabla ya Mauti

MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ameeleza masikitiko yake kufuatia kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili na Mjumbe...

READ MORE

Wallace Karia Amlilia Hans Pope

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amepokea kwa mshtuko msiba wa Mjumbe wa Kamati ya...

READ MORE

Nabii Bendera: Hutaki Chanjo, Unataka Ushirikina? Rais Alichanja Maji? – Video

  ASKOFU Mkuu wa Makanisa ya Ufunuo nchini, Nabii Paul Bendera amewataka watu wanaopotosha kuhusu chanjo ya corona kuacha mara...

READ MORE

Tanzia: Zakaria Hans Pope Afariki Dunia

Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kwamba, Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Klabu ya Simba na Mjumbe wa Bodi ya...

READ MORE

Watatu Wakamatwa na Shehena ya Risasi, Silaha za Kivita

JESHI la Polisi mkoani Rukwa linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kupatikana na risasi 1,493 za silaha za kivita wilayani...

READ MORE

Kauli ya Serikali Kuhusu Bei ya Mafuta – Video

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imeunda timu maalumu ili kuchunguza kupanda kwa bei ya mafuta kwa kuwa kitendo hicho...

READ MORE

Sakata la Malori 200 ya Tanzania Kuzuiliwa Zambia Liko Hivi

Serikali nchini Zambia imejibu tuhuma zinazosambaa katika mitandao ya kijamii kuhusu kuyazuia malori 200 ya mizigo ya nchini Tanzania kuingia...

READ MORE

DED Aliyenusurika Mbele ya JPM, Asimamishwa kwa Tuhuma za Wizi wa Mabati

Waziri wa Tamisemi, Ummy Mwalimu leo Septemba 10,2021, amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo, Mkoa wa Morogoro,...

READ MORE

Mbowe na Wenzake Wasomewa Mashtaka Upya

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe na wenzake watatu wasomewa upya mashtaka yao sita mbele ya...

READ MORE

Mbunge Aliyeteuliwa na Rais Samia Aapishwa

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai leo Septemba 10, 2021 amemuapisha Dkt. Stergomena Tax kuwa...

READ MORE

Shigongo Bungeni: Tariff za Kodi Wafanyabiashara Wanaumia – Video

MBUNGE wa Buchosa, Eric Shigongo ameiomba Serikali kufanya mapitio ya baadhi ya tariff za kodi ambazo zimekuwa mwiba kwa wafanyabiashara...

READ MORE

Rais Samia Amteua Bosi wa SADC Kuwa Mbunge

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Stergomena Tax kuwa Mbunge wa Bunge la Tanzania. Kabla ya uteuzi huo, Dk Stergomena...

READ MORE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Mgeni Rasmi Nmb Marathon

  Waziri mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mbio za hisani zilizoandaliwa na Benki ya NMB. Mbio hizo...

READ MORE

Bei Imeshuka! Mnada Mkubwa wa Bajaji Kutikisa Dar Jumamosi Hii – Video

KAMPUNI ya SEPCO DEBT COLLECTION AND AUCTIONEERING COMPANY LIMITED inawatangazia mnada wa hadhara. Kwa idhini tuliyopewa na kampuni ya SUNBEAM...

READ MORE

Rais Samia Aielezea Royal Tour

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, ameeleza kuwa Royal Tour ni kipindi maarufu duniani kitakachotumika kurusha...

READ MORE

Mabasi ya Mwendokasi Yasitisha Safari Mbezi, Mwenge, Kawe

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Mabasi yaendayo haraka (Udart), John Nguya amesema wameamua kusitisha safari za Shekilango – Mwenge na...

READ MORE

Waliobebana Mshkaki Wafariki kwa Kugongwa na Fuso

WATU watatu waliokuwa wamebebana kwenye pikipiki (Mshikaki) wamefariki dunia papo hapo baada ya kugongwa na fuso lenye namba za usajili...

READ MORE

Walimu Ruksa Kuhama Mijini Kwende Vijijini

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali Mhe Ummy Mwalimu amesema walimu wanaotaka kuhama kutoka mijini...

READ MORE

Basi la Mwendokasi Lagonga Pikipiki, Laua Wawili

WATU wawili wamefariki dunia kwa ajali iliyohusisha basi la mwendokasi na pikipiki. Kwa mujibu wa Kamanda wa polisi Kanda Maalum...

READ MORE

Mbeya: Mtoto Mbaroni kwa Kubaka Mtoto na Kumuua

JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya limemkamata Hamisi Ibrahim (15) akituhumiwa kumbaka na kumuua mtoto mwenye umri wa miaka sita....

READ MORE

Tanzia: Hillary Ngonyani Afariki Dunia

MWENYEKITI Mstaafu wa Halmashauri ya Mji Korogwe mkoani Tanga, Hillary Ngonyani amefariki dunia. Ngonyani amefariki dunia leo Septemba 9, 2021...

READ MORE

RC Makalla Apiga Marufuku Biashara Barabarani, Atoa Siku 7

  Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla ametoa wiki moja kwa wafanyabiashara...

READ MORE

Sabaya Kortini Tena kwa Madai ya Kuchukua Mil 90 za Mfanyabiashara

ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya na wenzake sita wamesomewa shtaka la uhujumu uchumi lenye makosa matano...

READ MORE

Sakata la Polepole, Gwajima, Silaa Latua kwa Majaliwa

KAMATI ya wabunge wa CCM imekabidhi ripoti ya mahojiano ya wabunge watatu kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambapo wawili wanatuhumiwa...

READ MORE

Fisi Aua Mtoto

MTOTO mwenye umri wa miaka mitano ambaye ni mkazi wa Kijiji cha Zawa, Kata ya Sengerema wilayani Maswa mkoani Simiyu...

READ MORE

Akutwa Amefariki Katika Gesti ya Uwoya

MWANAUME mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 42 amekutwa amefariki katika nyumba ya kulala wageni (gesti) ya Uyowa katika...

READ MORE

Auawa Baada ya Kufumaniwa Akichepuka na Mke wa Mtu

KIJANA aliyejulikana kwa jina la Michael Jackson (25) mkazi wa Kijiji cha Magara wilayani Babati mkoani Manyara ameuawa kwa kukatwa...

READ MORE

Theresa Ntare, Huyu Ndo Chifu wa Kwanza Mwanamke Tanzania

HAPO zamani za kale jamii nyingi za Kiafrika zilitajwa kuwaweka nyuma wanawake, ni wanawake wachache tu wanapatikana katika kurasa muhimu...

READ MORE

Spika Ndugai Ashangazwa na Tozo Mpya

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai ameeleza kushtushwa kupitishwa kwa sheria inayomtaka mkulipa kulima ushuru wa bidhaa wa asilimia mbili kwa...

READ MORE

NMB Yanogesha Mashindano ya Gofu  ya Lugalo

  Benki ya NMB imetoa Sh. 60 Milioni kwa ajili ya kudhamini Mashindano Maalumu ya mchezo wa Gofu ya Mkuu...

READ MORE

Serikali Kununua Ndege 5 za Mafunzo ya Urubani

SERIKALI imesema Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kitanunuliwa ndege tano za mafunzo ya urubani kuanzia mwaka huu wa fedha....

READ MORE

Shigongo Ambana Waitara “Kuna Tatizo la Kivuko” – Video

Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo akiuliza swali bungeni jijini Dodoma leo Septemba 8, 2021 kuhusu adha ya...

READ MORE

Afanya Mauaji Akidai Amerogwa Nyumba Yake Isimalizike

Samason Daudi (26) Mkazi wa Kijiji cha Mutuka Wilayani Babati anatuhumiwa kumuua Peter Buu(48) ambaye alimtuhumu kumroga ili nyumba yake...

READ MORE

Vanessa Aaanika Jinsia ya Mtoto Wake

Baada ya Vanessa Mdee (Vee Money) na na mpenzi wake Rotimi kuthibitisha kuwa wanatarajia kupata mtoto siku za hivi karibuni,...

READ MORE

Rais Mwinyi Afanya Uteuzi Wizara ya Afya

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Mwinyi, leo Septemba 8, 2021 amefanya uteuzi wa wakurugenzi...

READ MORE

Mbaroni kwa Kuuza Watoto kwa Tsh 25,000

Jeshi la Polisi mkoani Mbeya, linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kuwatorosha watoto 11 wenye umri wa kati ya miaka...

READ MORE

Ufafanuzi wa Somo Jipya Liliongezeka Darasa la 7

KATIBU Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA), Dkt. Charles Msonde, amesema kuwa idadi ya masomo katika mtihani wa...

READ MORE

Ibada Maalum ya Kuwaombea Magufuli na Mkapa

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Ajira na wenye Ulemavu Jenista Mhagama, ameeleza uwepo wa ibada ya kuwaombea Hayati...

READ MORE