×

Kitaifa

Askofu Gwajima, Slaa Waitwa Mbele ya Kamati

Spika Job Ndugai ameamuru wabunge wawili, Josephat Gwajima na Jerry Silaa kufika mbele ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka...

READ MORE

Mapendekezo 7 Tume ya Uchaguzi – Video

WADAU wa Uchaguzi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imependekeza mambo saba kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa...

READ MORE

Gwajima Amtembelea Mtoto Alieacha Shule Kumuuguza Bibi Yake

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima ameawata Maafisa Ustawi wa Jamii na...

READ MORE

Mwanafunzi Kidato cha Nne Abuni Kifaa cha Kukusanya Mapato

  MWANAFUNZI wa kidato cha nne katika shule ya Sekondari ya Ufundi ya Iyunga ya Mkoani Mbeya,Yusuph Ng’umbi amebuni kifaa...

READ MORE

Rais Samia Asisitiza Diplomasia ya Uchumi – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewaapisha mabalozi wateule watatu pamoja na Mtendaji Mkuu wa...

READ MORE

Rais Amuagiza Prof. Elisante Kusimamia Haki

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema mmoja ya kazi ya Mtendaji Mkuu wa Mahakama...

READ MORE

Rais Samia Apokea Ripoti ya Uchaguzi Mkuu 2020 – Video

Rais wa Tanzania, Rais Samia Suluhu akiwa Ikulu, Dar anapokea ripoti ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 2020 Katika Uchaguzi huo,...

READ MORE

Nabii Bendera Awachana Wanasiasa na Wachungaji

ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Ufunuo, Bishop Paul Bendera amewashukia baadhi ya viongozi wa siasa wenye tabia za kuongea ongea...

READ MORE

Rais Samia Awaapisha Viongozi Aliyowateua – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha viongozi wateule wafuatao:- 1. Prof. Elisante Ole Gabriel...

READ MORE

Tanesco Yafafanua Wafanyakazi Wake Kufyeka Mahindi ya Mwananchi

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema litafanyia uchunguzi suala tukio la Wafanyakazi wa TANESCO kufyeka mazao katika shamba la Mkulima...

READ MORE

Chadema Wasusa Kwenda Ikulu

  Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema haitashiriki hafla ya kukabidhi taarifa ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 itakayofanyika...

READ MORE

Mwakabibi, Mratibu wa Mradi DMDP Kutokutaka Nje Ya Nchi Bila Kibali

  ALIYEKUWA Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, Lusibilo  Mwakabibi na na Mkurugenzi na Mratibu wa  Mradi wa DMDP,  Edward   Haule...

READ MORE

Bunge Kubadili Mchakato Viti Maalumu

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amesema wanatafuta namna bora ya kuwapata wabunge wa viti...

READ MORE

Breaking: Mwakabibi Asomewa Mashtaka Mawili

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) leo Ijumaa, Agosti 20, 2021 imemfikisha katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu,...

READ MORE

Mataka wa ATCL Ahukumiwa Jela Miaka 4

Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), David Mataka amehukumiwa kwenda jela miaka minne ama kulipa faini...

READ MORE

Ndugai: Bunge Lipo Tayari Kurekebisha Tozo

Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema Bunge liko tayari kufanya marekebisho yatakayohitajika kwenye tozo za miamala ya simu zilizopitishwa wakati...

READ MORE

Wafahamu Vinara Waliovunja Mwiko wa Mfumo Dume Sekta Ya Madini

  Mapambano ya usawa wa jinsia yanaendelea licha ya kwamba katika miaka ya karibumi kumekuwa na muamko mkubwa katika masuala...

READ MORE

Mwigulu: Tumekusanya Bil 48.4 za Tozo, Aibu Miradi ya JPM Kukwama – Video

Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba amesema, tangu tozo za miamala ya simu kuanza tayari Tsh bilioni 48.4...

READ MORE

Tanzia: Mama Mkwe wa Mbowe Afariki Dunia

MKE wa Gavana wa zamani wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Mwenyekiti wa zamani na Muasisi wa Chama cha Demokrasia...

READ MORE

Wanaume Uganda Wawatamani Warembo wa Afghanistan

Waziri wa Masuala ya Jinsia, nchini Uganda Betty Amongi, amesema wanaume nchini humo wamekuwa wakiombea wakimbizi kutoka nchini Afghanistan wawasili...

READ MORE

Katavi: Wawili Wafariki Dunia kwa Ajli, Uku 25 Wajeruhiwa

WATU wawili wamefariki dunia na wengine 25 kujeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Sea kugongana na lori katika kijiji...

READ MORE

Waliozusha Tarifa za Uongo Dhidi Ya Waziri Mkuu Waswekwa Lupango

Wafanyabiashara wawili wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu wakikabiliwa na Mashtaka matatu ikiwemo la kuchapisha maudhui ya uongo...

READ MORE

Rais Mwinyi Avunja Bodi ya Shirika la Bima

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Mwinyi ameivunja Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Bima...

READ MORE

Dk Gwajima: Eti Mimi Kigeugeu, Ninabadilika Badilika? Hili Agano Jipya

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Dk. Doroth Gwajima amesema hakuna kilichobadilika kutoka awamu ya tano kuja...

READ MORE

Breaking: Mwalimu Kashasha Afariki Dunia

Tanzia: Mchambuzi nguli wa soka Tanzania, Mwalimu Alex Kashasha (64) amefariki dunia leo Alhamisi, Agosti 19, 2021 wakati akipatiwa matibabu...

READ MORE

Mahakamani: Sabaya Akiri Kumiliki Silaha

MSHTAKIWA namba moja katika kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro,...

READ MORE

Mdogo wa Maajabu Mwenye Nguvu za Mungu, Anaponya Maji ya Moto – Video

HAYA ni maajabu ya mtoto mdogo Eunice Atieno mwenye umri wa miaka miwili na nusu mkazi wa Kijii cha Bukama,...

READ MORE

Nafasi za Kazi Jeshi la Polisi Tanzania

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI JESHI LA POLISI TANZANIA        ...

READ MORE

Dk. Gwajima: Baaada ya Chanjo Mume Wangu Ametesti Akakuta Niko Fiti

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, nchini Tanzania Dk. Dorothy Gwajima amewaacha na hamaki wakazi wa...

READ MORE

Waziri wa Ndugulile Azindua Huduma ya NMB Mkononi Plus

  Benki ya NMB imezindua huduma mpya ya NMB Mkononi Plus, ambayo Waziri wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, Faustine...

READ MORE

Gari la JWTZ Lagongana na Lori, Watu 10 Wafariki

AJALI mbaya imetokea na kuua watu 10 huku wengine 8 wakijeruhiwa baada ya gari la Jeshi la Wananchi wa Tanzania...

READ MORE

RC Makalla Apokea Mwenge Wa Uhuru, Miradi Zaidi Ya 46 Kukaguliwa

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Amos Makalla leo amepokea mbio maalum za Mwenge wa Uhuru katika uwanja...

READ MORE

Agizo la Waziri Gwajima Dhidi ya Wanaoendekeza Ukeketaji wa Watoto

  Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amesema wakati umefika kwa jamii...

READ MORE

Balozi wa Marekani: Tanzania Imebarikiwa

BALOZI wa Marekani nchini Tanzania, Donald J. Wright ameeleza kufurahiswa na mandhari pamoja na ari ya biashara nchini Tanzania. “Nimefurahishwa...

READ MORE

Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Tano (2021)

WANAFUNZI 4,105 wamechaguliwa kujiunga kidato cha tano kwa mwaka huu katika uchaguzi wa awamu ya pili kutokana na waliochaguliwa awamu...

READ MORE

IGP Sirro: Hatujapa Taarifa Rasmi Ili Kumkamata Gwajima

  Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amesema Jeshi la Polisi linaendeshwa kwa maandishi hivyo wanasubiri barua...

READ MORE

Trump Amkomalia Rais Biden “Jiuzulu”

Rais mataafu wa Marekani, Donald Trump amemtaka Rais wa nchi hiyo, Joe Biden ajiuzulu akimtuhumu kusababisha Wanamgambo wa Kundi la...

READ MORE

Rais Samia Ahutubia SADC “Hatupaswi Kuridhika” – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amehutubiwa Mkutano wa 41 wa Wakuu wa Nchi na Serikali...

READ MORE

Historia ya Basil Mramba, Uwaziri Mpaka Kufungwa Gerezani

MWANASIASA mkongwe aliyewahi kushika nyadhifa mbalimbali za uongozi ikiwemo kuwa Waziri wa Fedha katika Serikali ya Awamu ya Tatu, Basil...

READ MORE