×

Kitaifa

Mwinyi Amteua Masoud Makamu wa Kwanza wa Rais

OTHMAN  Masoud Othman ameteuliwa kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, kujaza nafasi ya Maalim Seif Sharif Hamad ambaye...

READ MORE

Trump Aibuka Upya, Atoa Kauli Hii

ALIYEKUWA Rais wa Marekani, Donald Trump, amezungumza kwa mara ya kwanza tangu Joe Biden kuwa Rais wa nchi hiyo, na...

READ MORE

Mfahamu Zaidi Mrithi wa Maalim Seif

  WAZANZIBARI na Watanzania kwa ujumla kwa sasa wameelekeza macho na masikio kwa raisi wa Zanzibar, Dkt Hussein Mwinyi wakisubiri...

READ MORE

Mbwa Watumika Kugundua Wagonjwa wa Covid-19

MBWA waliofunzwa nchini Finland wana uwezo wa kugundua wagonjwa walio na maambukizi ya virusi vya corona (Covid-19).     Mbwa...

READ MORE

Wanaswa na Vipande 13 vya Meno ya Tembo Wakisaka Wateja

KIKOSI maalum ya kupambana na ujangili katika eneo la ikolojia ya Tarangire – Manyara, kimewakamata watu wawili katika kijiji cha...

READ MORE

Tanzia: Mfanyabiashara Maarufu Arusha Afariki Dunia

Mfanyabiashara maarufu mkoani Arusha, Andrew Mollel ambaye alikuwa mwanzilishi na Mkurugenzi wa kampuni mbalimbali mkoani Arusha amefariki dunia na kuibua...

READ MORE

Waziri Mkuu Apokea Msaada wa Madawati kutoka Coca-Cola Kwanza

  Kampuni ya vinywaji baridi ya Coca-Cola Kwanza Ltd mwishoni mwa wiki imetoa msaada wa madawati 100 kwa Wilaya ya...

READ MORE

Bashiru Aapishwa Katibu Mkuu Kiongozi, Atoa Neno – Video

  RAIS  John Magufuli leo Februari 27, amemwapisha Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa kuwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Ikulu jijini...

READ MORE

Shigongo Apendekeza Buchosa Ipandishwe Hadhi Kuwa Wilaya Kamili

  MBUNGE wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo akiwa katika kikao Kamati Kuu ya Mkoa (RCC) ambapo amependekeza kupandishwa...

READ MORE

Tanzia: Jaji Samwel Karua Afariki Dunia

Familia ya Jaji Samuel Victor Gibson Karua Kwa masikitiko makubwa inawatangazia ndugu, jamaa na marafiki, Kifo cha mpendwa wao Jaji...

READ MORE

Mobeto Aungana na Sarah Kumkabili Kajala

MWANAMITINDO wa kimataifa na msanii wa Bongo Fleva, Hamisa Mobeto, anadaiwa kuungana na aliyekuwa mke wa msanii mwenzake, Rajab Abdul...

READ MORE

Usiku wa Vitasa, Kinawaka Kesho Kinesi

WASWAHILI wanasema usiku wa deni hauchelewi kwisha, Usiku wa Vitasa uliokuwa unasubiriwa kwa hamu ni leo Jumamosi unahitimishwa kwenye Uwanja...

READ MORE

‘Moto wa Ijumaa’ Wazidi Kushika Kasi

Moto wa gazeti la Ijumaa unazidi kutikisa kupitia Promosheni ya Chemshabongo yake ya msomaji wa gazeti hilo kujibu swali lililo...

READ MORE

Mbunge ‘Ajichanganya’, JPM Aagiza Uchunguzi wa Bil 19

  Rais wa Tanzania, John Magufuli ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kuchunguza mkopo wa Sh19 bilioni...

READ MORE

Mbunge wa Temeke Aiomba Serikali Ilipe Sh bil 12 – Video

MBUNGE wa Temeke Dorothy Kilave ameiomba serikali kuisaidia wilaya hiyo kulipa deni la Sh 12.1 bilioni wanalodaiwa na benki ya...

READ MORE

Rais Magufuli Ampa Siku 7 Waziri Simbachawene – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli, amempa siku saba Waziri wa Mambo ya Ndani George Simbachawene,...

READ MORE

Gigy Money: Nikimpenda Namzalia Hapo Hapo – Video

  Ni headlines za msanii Gigy Money ambaye amefunguka kusema akimpenda mwanaume basi ana uwezo wa kumzalia hata kama akiwa...

READ MORE

IGP Sirro: Ukishika Bunduki, Aga Familia Yako – Video

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro, amewataka wale wote wanaofanya uhalifu kwa kutumia silaha kuhakikisha kabla hawajatoka...

READ MORE

Tanzia: Arthur Shoo wa KKKT Afariki Dunia

  Katibu mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) yenye makao yake makuu mjini...

READ MORE

Live: Magufuli Akiweka Jiwe la Msingi Kiwanda cha Polisi

Rais Magufuli ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa kiwanda cha ushonaji wa sare za jeshi la polisi, Dar, kinachogharimu...

READ MORE

Wow! Harmonize Amnunulia Kajala Gari Jipya – Video

PENZI la Msanii Harmonize na Kajala limeendelea kuonekana kushamiri ambapo jana Februari 25, Harmonize ameonesha upendo wa nguvu kwa kumnunulia...

READ MORE

Mwanamke Mwenye Matatizo ya Akili Aambukizwa Ukimwi- Video

Fatuma Athumani (60) ni mama ambaye alibahatika kupata watoto Tisa, lakini watoto wawili kati yayo walifariki dunia huku mmoja akifariki...

READ MORE

Watanzania Wanavyovuna Mamilioni ya Bikosports

KWA wanaofahamu umuhimu wa michezo ya kubashiri matokeo ya michezo mbalimbali duniani, ukiwamo huu wa Bikosports, huwezi kuwaeleza lolote linalo...

READ MORE

Mbunge Nyongo Apata Ajali – Video

Mbunge wa Maswa Mashariki Stanslaus Nyongo amepata ajali Maeneo ya mkalama Mkoani Singida akiwa njiani kuelekea Meatu kwenye Mazishi ya...

READ MORE

Wizara Yahimiza Watanzania Kufanya Utalii wa Ndani

NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja, amewataka wananchi kuweka utaratibu wa kutembelea vivutio vya utalii vilivyopo nchini na...

READ MORE

Shigongo Awacharukia TARURA Kikaoni – Video

  MBUNGE wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo,  amecharuka katika kikao cha Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Buchosa...

READ MORE

Wafanyabiashara 6 Kizimbani Tuhuma za Kuhujumu Uchumi

WAFANYABIASHARA sita leo Februari 25, wamepandishwa kizimbani katika mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi likiwemo...

READ MORE

Shigongo Aingia Darasani Kufundisha Biology Fomu 4 & 6 – Video

  MBUNGE wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo, ameamua kuingia darasani na kufundisha somo la Biology kwa wanafunzi wa...

READ MORE

Shigongo Apokea Mabomba Mradi wa Maji Buchosa – Video

MBUNGE wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo, amepokea mabomba 300 awamu ya kwanza kwa ajili ya kukamilisha mradi wa...

READ MORE

Shigongo Apokea Vitanda vya Wagonjwa Buchosa – Video

MBUNGE  wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo, amepokea vitanda vitano kutoka Hospital ya Tanzanite iliyoko Iseni jijini Mwanza kwa...

READ MORE

ACT Wazalendo Yafunguka Sakata la Membe “Hatujutii”

Kaimu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu, amesema kuwa aliyewahi kuwa mshauri wa chama hicho Bernard Membe, aliondoka...

READ MORE

JPM Awaonya Wanahabari Kuhusu ‘Vigogo Kupukutika’ – Video

  RAIS  John Magufuli ametoa wito kwa vyombo vya habari kuripoti habari na matukio kwa weledi badala ya kuripoti taarifa...

READ MORE

JPM Aomba Ngoma ya Stamina Ft. Prof. Jay – Video

RAIS John Magufuli, ameufagilia na kuomba apigiwe wimbo ulioimbwa na Professor Jay na Stamina, wenye ujumbe unaomsema baba aliyeshindwa kutimiza...

READ MORE

Kumbilamoto Meya Mpya Jiji la Dar – Video

RAIS John Magufuli amesema Halmashauri ya Manispaa ya Ilala inastahili kuwa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, na haijapendelewa...

READ MORE

JPM: Waliniambia Dkt. Bashiru ni CUF – Video

  Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Magufuli amesema wakati Katibu Mkuu wa chama...

READ MORE

JPM Azindua Jitegemee House “Ufisadi Uliota Mizizi” – Video

  Rais Magufuli amezindua Jengo la Jitegemee (Jitegemee House) na Studio za Channel Ten Plus, Radio Magic FM na Radio...

READ MORE

Bibi Aliyetelekezwa na Wanae Ashukuru, Aongea Machungu – Video

KIKONGWE wa kike aliyewahi kuripotiwa na Global TV hivi karibuni kutelekezwa na wanae, ametoa neno la shukurani kwa Wasamaria wema...

READ MORE

Binti Amuua Mpenzi Wake, Baba Yake Ajinyonga – Video

BINTI mmoja nchini Uganda amemuua mpenzi wake kwa kumkata kata mapanga akidai kuwa amesikia kuwa mpenzi wake huyo alikuwa muathirika...

READ MORE

Mkutano wa 21 wa Wakuu Nchi EAC Kufanyika Feb 27

Mkutano wa 21 wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki umepangwa kufanyika Jumamosi, 27 Februari, 2021 kwa njia...

READ MORE