×

Michezo

Kocha wa Simba Aondoka Nchini

Kocha Mkuu wa Simba, DIDIER Gomes amekwea pipa na kuibukia nchini Ufaransa kwa ajili ya mapumziko mafupi. Raia huyo wa...

READ MORE

Shinda TShs Bilioni 5.75 kwenye Euro 2020 na betPawa katika PawaPot Jackpot

PawaPot Jackpot ya TSh Bilioni 5.75 ni mpya betPawa, maana yake wateja wanaweza kushinda KIKUBWA ZAIDI KUWAHI KUTOKEA  katika michuano...

READ MORE

John Bocco Agomea Kiatu cha Dhahabu

BAADA ya mshambuliaji wa Simba, John Bocco kufunga bao lake la 13 kwenye Ligi Kuu Bara msimu huu nahodha huyo...

READ MORE

Makambo, Yanga Kimeeleweka

SASA rasmi mshambuliaji kipenzi cha Yanga, Mkongomani, Heritier Makambo anatua Jangwani baada ya kufikia muafaka mzuri.   Makambo ni kati...

READ MORE

Morata Afichua Siri za Ronaldo

MSHAMBULIAJI wa Juventus, Alvaro Morata amedai kuwa yeye ni mmoja wa wachezaji wanaomjua vizuri mshambuliaji mwenzake, Cristiano Ronaldo.   Morata...

READ MORE

Matola: Simba Kazi Bado Haijamalizika

KOCHA Msaidizi wa Simba, Seleman Matola amesema licha ya ushindi dhidi ya Ruvu Shooting hawajabweteka kuwa wamemaliza kazi badala yake...

READ MORE

Kadi Nyekundu za Ruvu Zamtoa Neno Mkwasa

KOCHA Mkuu wa Ruvu Shooting, Charles Mkwasa amesema kitendo cha wachezaji wake Juma Nyoso na mlinda mlango, Abdallah Rashid kupewa...

READ MORE

‘Grealish ni Ronaldo wa England’

JACK Grealish alikuwa ni Cristiano Ronaldo wa England katika mchezo wa Jumatano iliyopita walipocheza dhidi ya Austria, hiyo ni kwa...

READ MORE

Kocha Simba Afunguka Pacha ya Bocco, Mugalu

KOCHA Msaidizi wa Simba, Selemani Matola, amefunguka kwamba benchi la ufundi wanakoshwa na aina ya pacha ya washambuliaji wao, John...

READ MORE

Azam Kukupiga na Coastal Union Leo

Wanalamba lamba, klabu ya Azam inataraji kucheza mchezo wa kirafiki saa 1:00 usiku wa leo Juni 6, 2021 dhidi ya...

READ MORE

Lamine Moro, Yanga Waitwa Mezani

MWENYEKITI wa Chama cha Wachezaji Tanzania (Sputanza), Mussa Kissoky amesema kuwa wanawakaribisha Yanga na Lamine Moro mezani kujadili matatizo yao.Hii...

READ MORE

Meridian Bet na Global Peace Foundation Zaing’arisha Tandale

Kampuni ya kubashiri matokeo ya Meridian Bet kwa kushirikiana na Global Peace Foundation Tanzania zimeadhimisha siku ya mazingira duniani kwa...

READ MORE

Ruvu: Hasira za Simba, Tunawamalizia Yanga

BAADA ya kipigo cha mabao 3-0 walichokipata kutoka kwa Simba, juzi Alhamisi, uongozi wa kikosi cha Klabu ya Ruvu Shooting...

READ MORE

Mechi Zote za Euro 2020 Ndani ya DStv

WAPENZI wa soka wa Tanzania sasa wameanza kuingia hamasa baada ya wakongwe wa burudani SuperSport kutangaza kuonyesha mubashara mechi zote...

READ MORE

Breaking: Kahata Aaga Rasmi Simba, Kusepa Sudan

KIUNGO wa kimataifa wa Kenya na klabu ya Simba, Francis Nyambula Kahata amewaaga rasmi mashabiki, uongozi, Benchi la ufundi na...

READ MORE

Rasmi Djuma Mali ya Yanga

SASA ni rasmi Yanga imemsainisha beki wa kulia wa AS Vita na timu ya taifa ya DR Congo, Shaaban Djuma...

READ MORE

Makambo Aikamua Yanga Milioni 100

HABARI ndiyo hiyo, unaambiwa Yanga inatarajiwa kumwaga kiasi kisichopungua Sh milioni 100 ili iweze kumsajili tena aliyekuwa mshambuliaji wao tegemeo,...

READ MORE

Tonombe, Tuisila Wamaliza Usajili wa Mcongo Yanga

IMEELEZWA kuwa viungo raia w DR Congo, Tuisila Kisinda na Mukoko Tonombe ndiyo wamefanikisha usajili wa beki wa AS Vita,...

READ MORE

Ishu ya Lamine, Sarpong Yanga Mambo Magumu

  ISHU ya wachezaji wenye utovu wa nidhamu kwenye timu ya Yanga inayowahusu Lamine Moro, Michael Sarpong na Metacha Mnata,...

READ MORE

Kisa CAS, Morrison Anena Mazito ya Yanga

BAADA ya Klabu ya Yanga juzi kutoa taarifa kuwa Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (Cas) imeanza kusikiliza pingamizi la awali...

READ MORE

Mabosi Azam Wamgeukia Sure Boy

BAADA ya Jumanne wiki hii kumsainisha mkataba wa miaka miwili mshambuliaji wao, Prince Dube, uongozi wa Azam sasa upo kwenye...

READ MORE

Kahata Aibukia Azam FC

NASEMEKANA kuwa jina la kiungo mchezeshaji wa Simba, raia wa Kenya, Francis Kahata, limeingia kwenye rada za Azam FC katika...

READ MORE

Simba Watamba Kuifunga Ruvu Shooting Kirumba Leo

KOCHAMsaidizi wa Simba, Seleman Matola, amesema pamoja na ugumu wanaokutana nao katika kusaka pointi kutokana na kukamiwa na wapinzani wao,...

READ MORE

Beki AS Vita Akubali Kutua Yanga

HATIMAYE beki wa kulia wa AS Vita na timu ya Taifa ya DR Congo, Djuma Shabani, amefunguka kuwa yupo tayari...

READ MORE

Bocco Mchezaji Bora Simba Mwezi Mei

Nahodha John Bocco ameibuka kidedea kwenye kinyang’anyiro cha Mchezaji Bora wa Mwezi wa Mashabiki (Emirate Aluminium Simba Fans Player of...

READ MORE

Yanga Haijakata Tamaa ya Ubingwa

ZIKIWA zimesalia mechi tano kwa upande wa klabu ya Yanga ili kumaliza Ligi Kuu Bara msimu huu, uongozi wa klabu...

READ MORE

Jackpot Za Nguvu Na Kasino Ya Mtandaoni Ya Meridianbet!

Sloti ya Wild Hot 40    Ushindi babkubwa na Meridianbet yenye kukuletea Odds Kubwa, Ofa na Bonasi za kukata na shoka....

READ MORE

Nabi Aomba Michezo Mitatu Yanga

MARA baada ya kikosi chake kuingia kambini, Kocha Mkuu wa Yanga raia wa Tunisia, Nasreddine Nabi ameomba michezo mitatu ya...

READ MORE

Kahata Aigomea Simba, Akwea Pipa Arudi Kwao

IMEELEZWA kuwa kiungo mchezeshaji wa Simba raia wa Kenya, Francis Kahata ameshindwa kufikia muafaka mzuri na timu yake katika dau...

READ MORE

Buchosa Yafanya Maajabu UMITASHUMTA

HALMASHAURI ya Buchosa, Mkoa wa Mwanza imefanikiwa kushika nafasi ya pili katika mashindano ya michezo shule za msingi ngazi ya...

READ MORE

Samatta Atembelea Coca-Cola Tanzania, Azindua Kampeni Ya Washa Mdundo

Nahodha wa timu ya Taifa, ‘Taifa Stars’ na mshambuliaji wa Klabu ya Fenerbahce ya Ligi Kuu ya Uturuki, Mbwana Samatta...

READ MORE

Dube Aongeza Mkataba wa Miaka Miwili Azam FC

NYOTA wa Klabu ya Azam FC, Prince Dube ameongeza mkataba wake ndani ya kikosi hicho kwa muda wa miaka miwili....

READ MORE

Simba Watua ‘Kibabe’ jijini Mwanza, Ruvu Wajipange (Picha +Video)

KIKOSI cha Simba SC leo Juni 1, 2021 kimewasili jijini Mwanza kujiandaa na mchezo wa ligi kuu bara dhidi ya...

READ MORE

EURO 2020 Kukaribishwa Na Mechi Kali Za Kimataifa

Baada ya kumaliza mishemishe za vilabu na odds kubwa sana, sasa Meridianbet inakupa ushindi wa kibingwa sana katika mechi za...

READ MORE

Mastaa Wawili Waivuruga Simba

KLABU ya Simba, inafikiria kusitisha mkataba wa kiungo wake mshambuliaji raia wa Zimbabwe, Perfect Chikwende huku ikipanga kumuongezea mkataba Francis...

READ MORE

Kesi ya Morrison na Yanga Juni 2, CAS

KWA mujibu wa klabu ya Yanga, CAS wametupilia mbali mbali pingamizi la mchezaji Bernad Morrison la kutaka kesi hiyo kusikilizwa...

READ MORE

Breaking: Carlinhos Avunja Mkataba na Yanga, Asepa

  Kiungo Mshambuliaji wa Yanga, Carlos Sténio Fernandes Guimarães do Carmo maarufu kama Carlinhos amevunja mkataba na klabu yake ya...

READ MORE

Gomes Akabidhiwa Emmanuel Okwi

HABARI inayotikisa kwa sasa Bongo ni ile inayomuhusu mshambuliaji wa zamani wa Simba, Emmanuel Okwi kurejea kwa mara nyingine kukitumikia...

READ MORE

Nabi Atoa Maagizo Maalum Yanga

NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga, amewaambia wachezaji wake kuwa anahitaji watwae mataji mawili kwa msimu huu wa 2020/21 ili...

READ MORE