×

Michezo

Yanga SC Yamtumia Tiketi Fasta Eymael

  UONGOZI wa Yanga umepanga kuwarejesha makocha wake, Mbelgiji, Luc Eymael na msaidizi wake raia wa Afrika Kusini, Riedoh Berdien...

READ MORE

TFF, Bodi Ya Ligi Kufanya Kikao Kizito Leo

MTENDAJI Mkuu wa Bodi ya Ligi Tanzania TPLB, Almas Kasongo amefunguka kuwa leo watakuwa na kikao kizito na viongozi wa...

READ MORE

Mwamnyeto: Hii Ndiyo Siri ya Kusaini Yanga

NAHODHA na beki wa kati wa Coastal Union, Bakari Mwamnyeto amekiri kuwepo kwenye mazungumzo mazuri ya kukamilisha dili lake la...

READ MORE

Bosi Simba: Chama, Kahata Wanatuumiza Kichwa

MTENDAJI Mkuu wa Simba, Senzo Mazingisa, amefunguka kuwa wanaendelea kuumiza kichwa juu ya kuwapata wachezaji wao, Francis Kahata na Clatous...

READ MORE

Ulimwengu: Nitafunga Mabao Ya Kutosha Yanga

MSHAMBULIAJI wa Rayon Sports ya nchini Rwanda, Mrundi, Jules Ulimwengu, amefunguka kuwa kama mpango wake wa kujiunga na Yanga utakwenda...

READ MORE

Haji Manara Aipa Somo Yanga SC

OFISA Habari wa Klabu ya Simba, Haji Manara, ameushauri uongozi wa Klabu ya Yanga kujiandaa vizuri kama ni kweli wanataka...

READ MORE

Ndayiragije Ataja Kilichompeleka Ufukweni

KOCHA Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania, Etienne Ndayiragije, amesema kuwa sababu ya kuonekana katika fukwe za Escape One...

READ MORE

Mbelgiji Aachiwa Zigo La Shiboub Simba

MABOSI wa Simba wameamua kumpa majukumu mazito kocha wao, Mbelgiji, Sven Vandenbroeck ya kuamua kumbakisha kiungo Msudan, Sharaff Shiboub ambaye...

READ MORE

Pascal Wawa Akubali Yaishe Simba SC

KIMEELEKA! Ndiyo utakavyoweza kusema kwa beki wa kati wa Simba raia wa Ivory Coast, Pascal Wawa ambaye wiki iliyopita alisaini...

READ MORE

Molinga: Siondoki Yanga, Labda Waniache – Video

 BILA shaka kwa mpenda soka yeyote kwa sasa angetamani zaidi kujua malengo ya wachezaji mbalimbali wa hapa nchini na...

READ MORE

Simba: Tayari Tuna Majina Yote Ya Usajili

MABOSI wa Simba wameweka wazi kwamba licha ya kuwa na majina ya wachezaji ambao wanawahitaji katika msimu ujao lakini kwa...

READ MORE

Sheva: Nimerudi Kwenye Ubora Wangu

MIRAJI Athuman ‘Sheva’ ambaye anashikilia rekodi ya kuwa ‘super sub’ wa Simba msimu huu akiwa ameshikilia mabao ya Meddie Kagere...

READ MORE

Young Aibuka Na Muonekano Mpya

WINGA wa zamani wa Manchester United, Ashley Young, juzi alionekana akiwa na muonekano wa tofauti baada ya kuacha nywele.  ...

READ MORE

Meja Kunta Ampiga Molinga Chenga Mbaya Mazoezini

MWIMBAJI wa muziki wa Singeli nchini Meja Kunta, hivi karibuni alimtoa nishai, straika wa Yanga raia wa DR Congo, David...

READ MORE

Simba Yaingilia Dili La Sarpong Yanga

KOCHA mkuu wa Yanga, Mbelgiji, Luc Eymael amesikia ishu ya Simba kumfukuzuia mshambuliaji wa Rayon Sports, Mghana Michael Sarpong, lakini...

READ MORE

Katibu Mkuu wa TFF Ahojiwa Takukuru

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru), jana ilimuita ofisini kwao Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania...

READ MORE

Deo Kanda Aumia Mazoezini

KIUNGO mshambuliaji wa Simba, raia wa DR Congo, Deo Kanda, katika mazoezi ya juzi Jumatatu yaliyofanyika katika Ufukwe wa Escape...

READ MORE

Kisa Mil 344, Straika Rasta Rasmi Aitosa Simba

INAELEZWAkuwa uongozi wa Simba ulikuwa kwenye vita nzito ya kuwania saini ya mshambuliaji wa Asante Kotoko ya Ghana, Yacouba Songné,...

READ MORE

Dilunga Ajifunga Miaka Miwili Simba

SASA rasmi kiungo mshambuliaji wa Simba, Hassani Dilunga, amesaini mkataba wa miaka miwili ya kuendelea kukipiga Msimbazi baada kufi kia...

READ MORE

Haaland Apelekwa Madrid

ERLING Haaland yupo tayari kujiunga na Real Madrid. Hiyo ni kwa mujibu wa kocha wa zamani wa Byrne FK, Alf...

READ MORE

Barcelona Yakataa Kumtoa Arthur

  JUVENTUS inamtaka Arthur Melo katika dili la kubadilishana na Miralem Pjanic kutua Barcelona.  Wakati hayo yakijiri, Barcelona imesema haipo...

READ MORE

Kurudi Katika Ubora… Marcelo Ana Kazi ya Kufanya

BEKI wa kushoto wa Real Madrid, Marcelo, tayari amejijengea jina ndani ya klabu hiyo kuwa miongoni mwa nyota waliofanikiwa zaidi....

READ MORE

Rais Magufuli: ‘Baada ya wiki Tutaangalia Kuruhusu Michezo’

Rais Magufuli amesema kuanzia wiki ijayo kama maambukizi ya Corona yataendelea kupungua, atafikiria kufungua Vyuo na kuruhusu michezo iendelee. Rais...

READ MORE

Kazi Imeisha, Bosi GSM: Majembe haya mali ya Yanga

KAULI pekee inayopaswa kutumika kwa Wanayanga sasa ni hii ya mambo ni moto, hasa baada ya Mkurugenzi wa Uwekezaji wa...

READ MORE

Ndemla Asaini Miaka Miwili Simba

RASMI kiungo mkabaji wa Simba, Said Ndemla ameongezewa mkataba wa miaka miwili wa kuendelea kukipiga kwenye klabu hiyo kwenye msimu...

READ MORE

Sheva Aanza Kunoga, Apiga Tizi La Hatari

KIUNGO mshambuliaji mwenye jina kubwa hivi sasa kwenye kikosi cha Simba, Miraji Athumani ‘Sheva’, ameonekana kuanza kurejea kwenye ubora wake...

READ MORE

Mwamnyeto Avuruga Usajili Wa Jembe Jipya Yanga SC

DILI la beki wa kati wa Nkana Rangers raia wa nchini Kenya, Mussa Mohammed huenda lisikamilike kutua Yanga, ni baada...

READ MORE

Mavugo Awaita Yanga Mezani

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Simba, Mrundi, Laudit Mavugo ameibuka na kusema anatamani kuona anarejea kuchezea timu kubwa tena nchini ikiwemo...

READ MORE

Ally Niyonzima: Ninakuja Yanga SC

KIUNGO mkabaji wa Rayon Sports, raia wa Rwanda, Ally Niyonzima, amethibitisha kufuatwa na mabosi wa Yanga na kama dili likikamilika,...

READ MORE

Mavugo: Mashabiki Simba Walinipoteza

LAUDIT Mavugo ndiyo jina lake lakini Ofi sa Habari wa Simba, Haji Manara alipendelea zaidi kumuita King Laudi.Wakati wa ufalme...

READ MORE

Hofu Uzito wa Mastaa Simba Wamvuruga Sven

MEFAHAMIKA kuwa wachezaji wote wa Simba uzito wao umepungua kwa kiasi kikubwa baada ya juzi kufanyiwa vipimo na kugundulika kutokana...

READ MORE

Mkwasa Kukabidhiwa Mikoba Ya Mbelgiji

MABOSI wa Klabu ya Yanga wamechungulia mbali na kuona ligi inaweza kurejea hivi karibuni lakini bila ya kuwa na makocha...

READ MORE

Clatous Chama Aitaja Al Ahly

KIUNGO fundi wa Simba, Clatous Chota Chama, amesema kuwa mechi yake bora zaidi ya kimashindano katika ngazi ya klabu ni...

READ MORE

Kisinda: Akili Yangu Inaiwaza Yanga Tu

WINGA machachari wa AS Vita, Tuisila Kisinda, amesema kuwa Yanga ndiyo timu ambayo ipo akilini mwake baada ya kufanikiwa kufanya...

READ MORE

Eymael Aukwepa Mtego wa Zahera Yanga SC

KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael, ameweka wazi kwamba katika kikosi chake cha msimu ujao atakachofanya ni kutosajili wachezaji wengi...

READ MORE

Sheva Arudi Kibabe, Azuia Usajili Simba

KUREJEAkutoka kwenye majeraha kwa kiungo mshambuliaji wa Simba, Miraji Athuman ‘Sheva’ kumezuia usajili wa kiungo wa Polisi Tanzania, Sixtus Sabilo...

READ MORE

Mkataba Wa Mido Mpya Yanga SC Watua Rwanda

YANGA wanachokifanya ni kumalizana fasta na mastaa wao ambao wanawataka kwa ajili ya msimu ujao ili kuepuka masuala ya kugombania...

READ MORE

Man United Yamtengea Dembele Bil 169

KLABU ya Manchester United, ina uhakika wa kutoa kiasi cha pauni 60m (Sh bil 169.4)kwa ajili ya kumsajili straika wa...

READ MORE

Video: Katibu Mkuu Wa TFF Afungukia Pesa za FIFA

 Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Kidao Wilfred leo Mei 14, 2020 anazungumza juu ya mambo mbalimbali...

READ MORE