×

Michezo

Balinya: Yanga Bado ni ya Kimataifa

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Mganda, Juma Balinya, ni kama ametupa dongo kwa mashabiki wa Simba baada ya kufunguka kuwa wao bado...

READ MORE

Lwandamina aitabiria makubwa Yanga SC Kombe la Shirikisho

LICHA ya kuiondoa timu yake ya zamani ya Yanga, Kocha Mkuu wa Zesco United ya Zambia, George Lwandamina, amekiri kiwango...

READ MORE

Zahera ajilaumu mwenyewe

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mkongomani, Mwinyi Zahera, amesema kuwa lawama zote anazibeba yeye huku akiitaja sababu ya kipigo cha mabao...

READ MORE

Zahera: Sasa tunarudi ligi kuu, mjipange

YANGA MJIPANGE! Ndiyo kauli aliyoanza nayo Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera kuwa kwa sasa anaelekeza nguvu zake kusaka pointi...

READ MORE

Licha ya Kipigo… CAF Yaitengea Yanga Mil.774

TIMU ya Yanga kama ingefanikiwa kutinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika juzi Jumamosi ingejinyakulia dola 550,000 (zaidi...

READ MORE

Aussems: Siachi Pointi Kokote

KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Aussems raia wa Ubelgiji, ametamba safari hii haachi pointi kwa timu yoyote ile atakayocheza nayo...

READ MORE

Mo: Tunahamia Kwenye Pichi Yetu Oktoba

TAJIRI wa Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’ amewathibitishia mashabiki wa klabu hiyo kwamba mwezi ujao viwanja vya nyasi bandia na asilia...

READ MORE

Yanga Sasa Mikononi mwa Wasauzi

BAO la kujifunga la kiungo wa Yanga, Abdulaziz Makame limewaondoa Yanga katika Ligi ya Mabingwa Afrika kufuatia kipigo cha mabao...

READ MORE

Azam FC Waiachia Msala Yanga

TIMU tajiri zaidi kwenye Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, Azam FC juzi Jumamosi jioni ilishindwa kusonga mbele kwenye Kombe...

READ MORE

Simba Yaipiga Biashara United Bao 2-0 Nyumbani

KENEDDY Juma, beki kisiki wa Simba maarufu kama mwili jumba amesema kuwa bado Simba ina nafasi ya kutetea kombe lao...

READ MORE

KUTOKA WAKABET… Code ya BTKA Inakupa Fedha Kibao

WAKABET inatoa huduma ya michezo ya betting/kuweka dau ambayo inashughulikia ligi zote kubwa za mipira kuhakikisha upatikanaji wa aina mbalimbali...

READ MORE

Simba Yaiteka Mara, ‘Biashara Waanza Kutimuana’

SIMBA wana mbwembwe sana. Baada ya timu yao kutua mjini Musoma jana wakasisitiza kwamba leo Biashara wanapigwa bao nne. Wanadai...

READ MORE

Yanga Yaondolewa Ligi Mabingwa Afrika

FULL TIME: Dak ya 90+4, Zesco wanacheza kwa akili ya kumaliza dakika zilizoongezwa. Dak ya 90, Moro anapewa kadi nyekundu...

READ MORE

Chirwa akabidhiwa jukumu zito Azam

CHIRWAKOCHA Mkuu wa Azam FC, Etienne Ndayiragije amemtaka mshambuliaji wake, Obrey Chirwa, kuhakikisha anafunga mabao mawili katika mchezo wao wa...

READ MORE

Kisa Simba, Yanga Yauza Jezi Kama Njugu

YANGA imezidi kuitangaza timu yao kimataifa, ni baada ya ndani ya siku nne kufanikiwa kuandika rekodi nzuri ya mauzo ya...

READ MORE

Bocco Awakimbiza Mastaa Yanga, Simba SC

IMEZOELEKA kwamba mastaa wa nje ambao wanacheza ligi kubwa zile za Ulaya ndiyo ambao wanaongoza kwa kumiliki magari makali ambapo...

READ MORE

Kagere Amevunja Rekodi Yake

MEDDIE Kagere, kiongozi wa safu ya ushambuliaji ndani ya Simba amevunja rekodi yake aliyoweka msimu uliopita ndani ya ligi kuu...

READ MORE

Man United Yampigia Hesabu Kocha wa Tottenham

MANCHESTER United inaaminika inamwania kocha wa Tottenham Hotspur, Mauricio Pochettino. Mkataba wa Pochettino kwa klabu yake ya Spurs inasemekana unatoa...

READ MORE

Kagere, Ajibu Wabadili Mfumo Simba

BAADA ya kufanikiwa kupata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Kagera Sugar, Kocha Mkuu wa Simba, Mbelgiji, Patrick Aussems, amesema...

READ MORE

Kisa Simba, Yanga Yauza Jezi Kama Njugu

YANGA imezidi kuitangaza timu yao kimataifa, ni baada ya ndani ya siku nne kufanikiwa kuandika rekodi nzuri ya mauzo ya...

READ MORE

Hujuma za Zesco, Yanga wakatiwa umeme

UNAWEZA kusema ni kama hujuma, tangu mabosi wa Yanga walivyotua kwenye Mji wa Ndola nchini Zambia, ni kuwa umeme umekuwa...

READ MORE

Siri ya Van Dijk kutumia jina la Virgil hii hapa…

VIRGIL van Dijk ni mmoja wa mabeki bora wa kati katika mchezo wa soka kwa sasa, lakini kumekuwa na maswali...

READ MORE

Yondani, Songo Wavuruga Mipango ya Lwandamina

BEKI mkongwe wa kati wa Yanga, Kelvin Yondani ametamka kuwa kama safu yao ya ulinzi itacheza kwa kufuata maelekezo na...

READ MORE

Messi Aiponza FIFA, Nchi Tatu Zasema ‘Hatukumpigia Kura’

MSHAMBULIAJI wa Barcelona na timu ya taifa ya Argentina, Lionel Messi, ndiye mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa kiume...

READ MORE

Straika Zambia: Zesco Wanafungika, Yanga Wakaze

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Eliuter Mpepo anayekipiga katika timu ya Buildcon ya Zambia amefunguka kuwa Yanga wanayo nafasi ya...

READ MORE

Tshishimbi Kuondoka Yanga, Kukosa Mechi ya Simba

MABOSI wa Yanga wamepokea barua ya kuondoka kiungo wao mkabaji Mkongomani, Papy Tshishimbi kuhitajika na moja ya klabu ya nchini...

READ MORE

Mkude Akinukisha Simba, Ajiondoa Kambini

  KIUNGO mkabaji wa Simba, Jonas Mkude amelizua jambo jipya ndani ya kikosi hicho baada ya juzi Jumatano kujiondoa katika...

READ MORE

Simba Yavunja Mwiko, Yaichapa Kagera 3 Kavu

Kikosi cha Simba kimevunja mwiko Kaitaba Stadium kwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Kagera Sugar, baada ya...

READ MORE

FIFA Yapata Kashfa Kumuwezesha Messi Kushinda Tuzo

  TUZO ya Mchezaji Bora wa FIFA imekumbwa na shutuma nzito juu ya kura zilizomchagua Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi...

READ MORE

Malinzi, Wambura, Aveva …Wakitema Bili 1.3 Wanarudi Uraiani

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli wikiendi iliyopita alimshauri Mkurugenzi Mkuu wa Mashtaka nchini (DPP), Biswalo...

READ MORE

Samatta Kupewa Mtaa Kibiti

BABA Mzazi wa Mshambuliaji wa KR Genk ya nchini Ubelgiji, Mbwana Samatta, Mzee Ally Samatta ametuma maombi katika Halmashauri ya...

READ MORE

Kocha Simba SC: Kagera Wakitufunga Tunatwaa Ubingwa

KOCHA mkuu wa Simba, Mbelgiji Patrick Aussems ameweka wazi kwamba hata akifungwa kwenye mechi yake ya kesho Alhamisi dhidi ya...

READ MORE

Washindi watano wa Faidika na Jero wa Tigo, SportPesa Wapatikana

    WASHINDI watano wa Promosheni ya FAIDIKA na JERO inayoendeleshwa na Kampuni ya Tigo Tanzania na SportPesa Tanzania wametangazwa...

READ MORE

Coulibaly Awashangaa Simba

BEKI wa zamani wa Simba, Zana Coulibaly ameibuka na kusema kuwa hakutarajia kuona Simba ikiondolewa mapema katika michuano ya Ligi...

READ MORE

Wakabet Inakupa Mchongo Mpya wa Kubeti na Kulamba Mamilioni

WAKABET inatoa huduma ya michezo ya betting/kuweka dau ambayo inashughulikia ligi zote kubwa za mipira kuhakikisha upatikanaji wa aina mbalimbali...

READ MORE

Mzungu Amtengenezea Straika Mbrazili Kombinesheni Hatari

STRAIKA mpya wa Simba, Mbrazili, Wilker Henrique Da Silva, rasmi ataanza kutumika kwenye michezo ijayo ya Ligi Kuu Bara na...

READ MORE

Aussems: Kaitaba Kugumu, Tutashinda Kinguvu

KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Aussems, amefunguka wazi kwamba anaelewa kabisa kuwa kushinda kwenye Uwanja wa Kaitaba ni ngumu kutokana...

READ MORE

 Aliyeisumbua Zesco arejea Yanga

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mkongomani, Mwinyi Zahera, amemjumuisha kiraka wake Mapinduzi Balama kwenye msafara wa timu hiyo utakaoifuata Zesco Zambia....

READ MORE

Simba, Yanga wakutana uzunguni

KATIKA hali ya kushangaza, juzi Jumamosi wachezaji wa timu ya Yanga na Simba walikutana sehemu moja ya mazoezi jambo ambalo...

READ MORE

Kamusoko azua hofu Yanga

WAKATI kikosi cha Yanga kikitarajia kuondoka kesho Jumanne kwenda nchini Zambia kupambana na Zesco United katika mchezo wa marudiano wa...

READ MORE