ILIPOISHIA GAZETI LA IJUMAA WIKIENDA: “Vipi tena shem?” Nancy alimuuliza Bony baada ya kumwona akifika kwenye meza yake na kukaa...
READ MOREILIPOISHIA KWENYE GAZETI LA IJUMAA: Lakini kwa sababu tunaondoka kesho yake nilimwambia itakuwaje, Nurdin akamjibia. “Tutachota maji ya bahari hakuna...
READ MOREILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Kabla sijamaliza kusema, ghafla mlango ulisukumwa bwana… “Haa! Baby tumefumaniwa…Mungu wangu jamani…” nilisema hata kabla sijamwona huyo aliyesukuma...
READ MOREHali ya sintofahamu inazuka jijini Dar es Salaam, machangudoa wengi wanaanza kuuawa katika mazingira ya kutatanisha. Hakuna anayemjua muuaji, kila...
READ MOREMpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale mama Bite alipoingia katika chumba walichokuwa wakilala mabinti zake na kumwuliza Dorcas kuhusu nguo...
READ MOREILIPOISHIA RISASI JUMAMOSI: Nilipotoka chooni, niliamini mama Jamila hayupo kwani ukimya ulikuwa mkubwa, nikasema moyoni huu ndiyo wakati wangu mimi...
READ MORETulifanikiwa kutoka kwenye shimo la kifo salama japokuwa msichana mmoja alikuwa mgonjwa. Tulitumia siku saba kuchimba tundu la kututoa shimoni....
READ MOREILIPOISHIA Sikutaka kubaki humo, nilichokifanya ni kuinuka, kuvaa nguo zangu na kutoka ndani ya mochwari ile. Walinzi walikuwa wakipiga stori,...
READ MOREILIPOISHIA Mwanamke huyo aliniambia na kuongeza. “Kingine nilichotaka kukueleza ni kuwa kama vile ambavyo baba yako alimtoa kafara mke wake...
READ MOREILIPOISHIA GAZETI LA IJUMAA: Walishuka wote, wakawa wanaingia huku wameshikana mikono na kutafuta mahali pa kukaa… “Shemeji Bony,” aliita Nancy...
READ MOREILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA Michael alining’ang’aniza lakini msimamo wangu ulikuwa uleule kwamba nisingeweza kuwa naye kwa sababu niliamini ilikuwa ni lazima...
READ MOREILIPOISHIA IJUMAA: Nikashtuka nilipoona namba ya yule mzungu, nikajiambia: “Siipokei.” Nikairudisha simu kwenye kimeza. Simu iliita mpaka ikakakata yenyewe. Baada...
READ MOREWiki iliyopita niliishia pale yule mama mtu mzima aliyetokea kumpenda Nelly ghafla alipomwuliza Ipyana alikuwa kaenda wapi Nelly akamfahamisha alitoka...
READ MOREILIPOISHIA WIKIENDA “Dereva rudi nyuma ulifuate lile gari,” nikamwambia dereva wa teksi huku nikijisikia ahueni kuliona gari hilo. Dereva wa...
READ MOREILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Maneno hayo kwangu yalikuwa mageni sana, kweli moyoni nikaanza kuona ugumu wa kazi ya ubaharia. “Bwana Tolu,”...
READ MOREMpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale Tabu alipomwambia Dorcas kuhusu tabia ya ukali ya mama Bite. Je, kilifuatia nini? Songa...
READ MOREILIPOISHIA KWENYE GAZETI LA IJUMAA: “Najua unataka kujua kama ni vinyama kwa maana gani! Ni vinyama kwa maana ni vidogo...
READ MOREHali ya sintofahamu inazuka jijini Dar es Salaam, machangudoa wengi wanaanza kuuawa katika mazingira ya kutatanisha. Hakuna anayemjua muuaji, kila...
READ MORENilitoka na kwenda kwenye kona ya mlango, kaka Cheni akanifuata… “Sista…sista!” aliniita kwa sauti iliyojaa wasiwasi. Nilishindwa kumwitika kwani wakati...
READ MOREILIPOISHIA GAZETI LA RISASI JUMAMOSI: “Wewe nani?” aliuliza kwa ukali mama Rehema… “Mimi Jamila mama.” “Jamila gani na wa wapi?”...
READ MOREILIPOISHIA: “Ooh! Murembo mutoto muzuri!” “Ndiye mimi,” nami nilijishebedua. “Uko sawa?” “Ndiyo.” “Sasa sikiliza, samahani leo hatutaonana nina safiri ya...
READ MOREIlipoishia wiki iliyopita Bata alikuwa mitaa ya Gerezani, Kariakoo jijini Dar es Salaam nyumbani kwa kijana mmoja aliyeogopeka sana miongoni...
READ MORESanura alikaa beneti na Msoba wakizungumza kuhusu uhusiano wao wa kimapenzi huku kila mmoja akionesha hisia za upendo kwa mwenzake,...
READ MOREILIPOISHIA …ile maiti ikainuka kisha kukaa kitako mle kwenye sanduku. Mpaka kufikia hatua hiyo, nilitamani kukimbia. Jasho lilinitoka. SONGA NAYO...
READ MOREILIPOISHIA …tutafia kwenye shimo hilo kama walivyokuwa hao ambao mifupa yao sasa tunaitumia kama vifaa vya kuchimbia njia yetu ya...
READ MOREILIPOISHIA Baada ya kutopata jibu nilitoka mle chumbani nikaingia katika chumba cha marehemu baba yangu. Nilichutama chini ya kitanda nikatia...
READ MOREILIPOISHIA GAZETI LA IJUMAA: “Hawezi bwana, basi sikia, nazima taa halafu nafungua mlango tunaanza yetu ili akija tumsikie kisha usimame...
READ MOREIlipoishia wiki iliyopita Nilimwacha Michael aondoke lakini ukweli ni kwamba hata mimi mwenyewe nikaanza kumuonea huruma, alikuwa kijana mpole, hakustahili...
READ MOREMpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale Jully alipompa Ipyana bahasha yenye shilingi laki tatu na kumweleza ampelekee dada aitwaye Milka ...
READ MOREILIPOISHIA IJUMAA: Nikaenda. Kilikuwa ghorofa ya kwanza. Nilipomaliza kupanda ngazi, nilianza kukitafuta chumba namba 35. Nikakiona. Nikaenda kubisha mlango. Kitu...
READ MOREStori: Francis Godwin, Ijumaa NJOMBE: INASIKITISHA! Sylvester Mgowolwa, mkazi wa Kijiji cha Bulongwa, wilayani Makete mkoani Njombe, amejinyonga baada ya...
READ MOREILIPOISHIA RISASI JUMATANO: “Jamila, tuondoke tafadhali,” alisema baba Rehema. Nikatingisha kichwa kukubaliana naye kisha akasema tena… “Lakini wewe siwezi kukupeleka...
READ MOREILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Nilisukuma mlango, nikazama ndani lakini nilifikia kuanguka chini na kupoteza fahamu. SASA ENDELEA… Niliposhtuka, nilikuwa katikati ya...
READ MOREILIPOISHIA WIKIENDA Nikaondoka. Smith akarudi kwenye kiti na kuendelea kunywa pombe yake. Nilikodi teksi iliyonirudisha nyumbani. Wakati wote nikiwa kwenye...
READ MOREULIPOISHIA GAZETI LA AMANI LA JANA: “Wale siyo Wazungu bwana Tolu, wale ni viumbe wa ajabu wa majini na wengine...
READ MOREMpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale mjomba wa akina Bite, Barton na Monica alipofika nyumbani kwao ambapo walimchangamkia. Mjomba huyo...
READ MOREHali ya sintofahamu inazuka jijini Dar es Salaam, machangudoa wengi wanaanza kuuawa katika mazingira ya kutatanisha. Hakuna anayemjua muuaji, kila...
READ MOREASALAAM alaikum wapenzi wasomaji wangu wote, bila shaka mna afya njema, kwa wale wagonjwa nawaombea dua Mwenyezi Mungu awaponye inshallah....
READ MOREILIPOISHIA GAZETI LA RISASI JUMAMOSI: “Sawa baby wangu, nakupenda sana,” nilisema nikamwongezea na zaidi kisha nikasimama na kwenda kumpa denda,...
READ MOREIlipoishia wiki iliyopita Katika watu waliokuwa ndani ya baa hiyo, akina Bata hawakuweza hata kumhisi kijana anayemsubiri Mwani, na walipomuona...
READ MORE