SHIMO kuu la kwanza la umaskini wa milele ni pale mtu anapoamka asubuhi na kusema; ‘Sina kazi ya kufanya’. Ukiwauliza...
READ MORENI wiki nyingine tena tunakutana kupitia safu hii, nikiamini kwamba umzima na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku...
READ MOREHILI halikuwepo huko nyuma! Kwamba umkute staa wa kike yuko na bausa, ilikuwa ni jambo adimu sana, lakini sasa hivi...
READ MORESHINYANGA: Luhaga Madango (28) ambaye ni mkazi wa Kata ya Kambarage, Manispaa ya Shinyanga, amejikuta akiwekewa msiba nyumbani kwao huku...
READ MOREKWA miaka ya hivi karibuni tumekuwa tukiona warembo wengi wa kike wakijiingiza katika kuuza nyago ‘video queen’ kwenye video za...
READ MOREHITMAKER wa Ngoma ya Salama, Mwanaisha Said ‘Dayna Nyange’ amesema kuwa, anajuta kusafiri Ulaya kwani kumemfanya kurudi upya kwenye gemu...
READ MORENI wiki nyingine tulivu kabisa tunakutana kupitia safu hii nikiwa na imani kwamba Mungu amekujaalia uzima na unaendelea vyema na...
READ MOREIRINGA: Wananchi wa Kijiji cha Ukami katika Kata ya Mapanda, Tarafa ya Kibengu wametoa malalamiko yao mbele ya Mkuu wa...
READ MOREPWANI: TUKIO la kijana Juma Mbwate (26) mkazi wa Mwananyamala Kisiwani, Dar, ambaye wiki moja iliyopita aliuawa kwa risasi na...
READ MOREDAR: Walipozaliwa watoto Clara Dotusi (5), Herieth Dotusi (3), hawakujua kama baba yao Dotusi Isaya angekuja kuwaua kwa kuwacharanga mapanga;...
READ MOREDAR ES SALAAM: Uchuro? Mwanamke mmoja, mkazi wa Tabata-Kinyerezi jijini Dar ambaye jina halikupatikana mara moja amesababisha watu kupigwa na...
READ MOREKAMA watoto wakinililia, waambie kesho nitarejea, Wadanganye na vibagia, waambie pipi ntawaletea, Nawe usichoke kuvumilia, na kila siku kuniombea, Unapokwenda...
READ MOREKATIKA vitu ambavyo baadhi ya Watanzania wanajivunia ni kumiliki ndege zao wenyewe, tena zenye viwango vya juu. Pamoja na Rais...
READ MORENI wiki nyingine tunakutana tena kupitia safu hii ambayo kimsingi tunakumbushana na kuelimishana juu ya mambo mbalimbali yanayogusa maisha yetu...
READ MOREBAADA ya hivi karibuni Kikosi cha Operesheni Fichua Maovu (OFM) cha Global Publishers kubaini ufuska mzito unaofanyika ndani ya jengo...
READ MOREBAADA ya Rais Dk. John Pombe Magufuli ‘JPM’ kuliamuru Baraza la Usimamizi na Uhifadhi wa Mazingira (NEMC) wataalamu wake wapime...
READ MOREMWAKA 1972, Mwanamitindo Julia Morley ambaye kwa sasa ni mwenyekiti wa shirika linaloratibu mashindano ya Miss Dunia alianzisha kitu kinaitwa...
READ MOREBAADA ya kumficha kwa kipindi cha miezi sita, hatimaye staa wa Muziki wa Hip Hop Bongo, Ibrahim Musa ‘Roma Mkatoliki’...
READ MOREUNAWEZA kujiuliza inawezekana kweli msanii wa vichekesho ambaye pia ni mchungaji, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ ameweza ‘kumfyatukia’ rapa kutoka Marekani,...
READ MOREAWALI ya yote naomba niseme kwamba, raha ya ndoa ni kumpata mtu ambaye anajua maisha na anajua mapenzi pia. Ukipata...
READ MOREMARA: Mkuu wa Kitengo cha Haki za Binadamu katika Mgodi wa Dhahabu wa North Mara, Robert Farrar uliopo mji mdogo...
READ MOREAR ES SALAAM: Ukiona mtu mzima analia, ujue kuna jambo! Saa 8:00 usiku, Jiji la Dar likiwa tulii, idadi kubwa...
READ MOREDAR ES SALAAM: Kufuatia kushindwa kununuliwa kwa makontena 20 yanayotajwa kuwa ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul...
READ MORENdagha fijho! Hivyo ndivyo alivyosema mshindi wa pikipiki katika droo ya 11 ya Shindano la Tusua Maisha na Global, Bolen...
READ MORECHEKESHAJI maarufu Bongo, Steve Nyerere amesema ingawa watu wamekuwa wakimkashifu kwa roho yake ya kujitolea na kusimamia misiba ya mastaa...
READ MOREWIKI chache baada ya kurejea Bongo akitokea Nigeria, mkali wa Ngoma ya Mafungu ya Nyanya akiwa na Marlow, Mwanaisha Said...
READ MOREBAADA ya Muziki wa Bongo Fleva kuonekana kumuendea sawa, hitmaker wa Ngoma ya Ona aliomshirikisha Rich Mavoko, Lulu Abbas...
READ MOREBONGO kuna utitiri wa marapa, tena wenye uwezo mzuri tu wa kusema na kinasa sauti, katika listi hiyo ya marapa...
READ MOREDAR ES SALAAM: TUKIO la ndugu wa marehemu Salum Kindamba kususia maiti katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili hadi Jeshi...
READ MORESIKU hizi ukisikia mtu anasema ‘Dunia simama nishuke,’ inamaanisha mambo ya duniani yamemchosha; na kweli unyama unaofanyika hivi sasa katika...
READ MOREIJUMAA Sexiest Girl 2015 ndiyo iliyonifanya kufahamiana na muuza nyago kwenye video za Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ kwani...
READ MOREMAMA mzazi wa aliyekuwa msanii wa filamu za Bongo, marehemu Steven Kanumba, Bi. Frola Mtegoa ‘mama Kanumba’ amesema baada ya...
READ MOREHITMAKER wa Ngoma ya Nadekezwa ambaye pia ni Memba wa Wasafi Classic Baby (WCB), Mbwana Yussufu ‘Mbosso’, amefunguka kuwa...
READ MOREMWANADADA Faidha Omari ‘Sister Fay’, ambaye kwa sasa anatengeneza vichwa vya habari kutokana na uhusiano na ‘benten’ wake aitwaye Hollystar,...
READ MOREWANA-SHERIA wawili wa msanii wa muziki ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Kyadondo Mashariki, Robert Kyagulanyi ‘Bobi Wine’, wamesema mwanasiasa...
READ MOREMWANAMUZIKI mkongwe kwenye Tasnia ya Muziki wa Bongo Fleva, Abdul Sykes ‘Dully Sykes’ hivi karibuni mbele ya umati wa mashabiki...
READ MOREMWANAMITINDO gumzo Bongo, Hamisa Mobeto ameamua kumwaga mboga kuwa, hata siku moja hawezi kumfanyia mwanamke ubaya katika mitandao ya kijamii...
READ MOREIKIWA imepita wiki moja tangu wamalize ziara yao ya In Love and Money, staa wa Muziki wa Bongo Fleva, Vanessa...
READ MOREMARA: UKISTAAJABU ya Musa, utayoona ya firauni! Mwanamke mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Ninyangi Sedeki (50), mkazi wa Kijiji cha...
READ MOREDAR ES SALAAM: Tufani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwazoa wapinzani bado inapiga. Duru za kisiasa zinaonesha kuwa sasa anayesubiriwa...
READ MORE