The House of Favourite Newspapers

Chris Brown, Tylor Swift bifu jipya!

0

chris-brown-2015-tumblr-wallpaper-4Chris Brown

STAA wa POP kutoka Marekani, Christopher Maurice ‘Chris Brown’ ameibuka na bifu jipya baada ya kujibu shutuma za msanii mwenzake, Tylor Swift za kudai kuwa hakuhusishwa kwenye Video ya Famous ya Kanye West.

Taylor-Swift-Vanity-Fair-Oscar-Party.ms.022816Taylor Swift

Kupitia ukurasa wa Insta wa Chris alimchana Tylor kwa kuandika;

“Oh No, kuna mtu simpendi, ameibuka na kusema hapendezwi kuwepo kwenye Video ya Famous. Fanya muziki wewe na funga domo lako.”

Hivi karibuni Tylor aliibuka na kudai kuwa hakushirikishwa kabla ya kutengenezwa video hiyo ambayo inawaonesha mastaa kadhaa wakiwa utupu kitandani lakini mke wa Kanye, Kim Kardashian aliibuka mtandaoni na kuweka wazi maneno ya Tylor kujipendekeza kuwepo.

Leave A Reply