The House of Favourite Newspapers

Covid19: Askofu Gwajima Amwandikia Barua Waziri Mkuu – Video

0

ASKOFU  wa Kanisa la Ufufuo na Uzima (GCTC), Josephat Gwajima, amesema amemwandikia barua Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiomba apewe ruhusa maalum kwenda kuwaombea wagonjwa wa #COVID19.

 

Amesema:  “Mimi niende kule na kama ikimpendeza aniweke pale, aniache pale ili uone kama nitakuwa na #COVID19. Watu wengine nikizungumza wanafikiri nazungumza blah blah.”

 

Aidha, Askofu huyo amejinadi kuwa yeye ndiye mtu wa saa hii na ndiye mtu anatakiwa kufanya kazi, hivyo amemuomba Waziri Mkuu siku mbili au tatu.

 

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Global Publishers (@globalpublishers) on

Leave A Reply