The House of Favourite Newspapers

Davido Awapongeza Burnaboy, Wizikid Tuzo za Grammy

0

Davido ameweka tofauti zake na Burna Boy pembeni, ampongeza kwa ushindi wake kwenye tuzo za Grammy mwaka huu. Pia hajamuacha Wizkid pale aliposema anawapongeza washindi wote toka Nigeria.

 

Kupitia tweet yake masaa machache yaliyopita, Davido amesema ushindi huu ni kwa taifa zima la Nigeria; “Kwa namna yoyote unavyotazama, huu ni ushindi kwa Nigeria, kwa tamaduni na watu wangu. Pongezi kwa washindi wetu,” ameandika Davido.

Leave A Reply