The House of Favourite Newspapers

Davido & Wizkid Wamaliza Bifu

0

WASANII wakubwa Barani Afrika na duniani kutokea pande za Nigeria, Ayodeji Ibrahim Balogun ‘Wizkid na David Adedeji Adeleke ‘Davido’ wamemaliza tofauti zao na sasa hivi wakikutana ni amani.

Hii imetokea jana baada ya wakubwa hao ambao wamekuwa mahasimu klwa muda mrefu kukutana club nchini Nigeria na kukumbatiana, jambo ambalo limeleta furaha kwa mashabiki wao kuona wakipatana tena.

Ungetamani wasanii gani wapatane hapa Bongo?

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Global Publishers (@globalpublishers)

Leave A Reply