The House of Favourite Newspapers

Dayna: Siwezi ‘Kum-copy’ Zuchu

0

MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Mwanaisha Nyange ‘Dayna’, amefunguka kuwa hawezi kuiga style ya uimbaji wa Zuchu.

Akizungumza na Amani, Dayna amesema kuwa muziki wake anaouimba ni wa tangu zamani na si kucopy kama watu wanavyomsema baada ya kuachia wimbo wake mpya.

“Mimi niko kwenye gemu kwa muda mrefu, aina ya uimbaji wangu ni ule ule tangu mwanzo, kwanini sasa nikamuige Zuchu ambaye amenikuta kwenye gemu, si kweli kabisa,’’ alisema Dayna ambaye kwa sasa anakimbiza na ngoma yake ya Homa.

Stori: Happyness Masunga

Leave A Reply