The House of Favourite Newspapers

Denda la Jux na Vanessa Kwenye Jukwaa la Fiesta Laleta Maswali (Video)

0

Wakiimba pamoja.
Jux akimfunga Vanessa cheni yake vizuri.

Waliokuwa wapenzi hapo nyuma, Jux na Vanessa, wamewashangaza mashabiki baada kuimba pamoja kwa hisia za kimahaba kwenye Tamasha la Tigo Fiesta hivi karibuni wakiwashangalia na kuwataka warudiane.  Kutokana na kuimba, kucheza na kukumbatiana, walionyesha kwamba penzi lao lilikuwa bado halijavunjika bali linaendelea, na kwamba kuvunjika kwa penzi hilo ni kuwazuga tu mashabiki.

(PICHA: MUSA MATEJA | GLOBAL PUBLISHERS)

FULL Stori ipo hapa

Android ===>Google Play

iOS ===>Apple Store

Leave A Reply