The House of Favourite Newspapers

Diamond Azindua Msikiti Wake Kigoma – Video

0

 

SUPASTAA wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, leo Jumatatu, Desemba 30, 2019, amezindua msikiti wake alioujenga Kigoma Mjini katika eneo la Ujiji unaojulikana kwa jina la Masjidi Al Aziz.

 

Akiwa na baadhi ya wasanii wake wakiwemo Lavalava, tukio hilo limehudhuriwa na maelfu ya wakazi wa Kigoma na baada ya kumaliza kuzindua msikiti huo alipanda mti kama ishara ya kuweka kumbukumbu.

 

Mbali na hayo, Diamond pia amezindua ujenzi wa Madrasa kwa ajili ya watoto wa Kiislam hapo hapo Kigoma Mjini.

 

 

Leave A Reply