The House of Favourite Newspapers

Ifahamu FOA ya Diamond

0

SUPASTAA wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz; ni brandi kubwa kwenye muziki wa Afrika akiiwakilisha vyema Tanzania.

Baada ya kusumbua vichwa vya mashabiki wake wakitafuta kirefu cha albam yake fupi (EP) ya FOA, hatimaye ametegua kitendawili hicho.

Diamond au Simba ameweka wazi kirefu cha hashtag ya FOA mbayo ni First Of All; yaani Kabla Ya Yote.
EP hiyo anatarajia kuiachia Machi 11, mwaka huu wa 2022.

Leave A Reply