The House of Favourite Newspapers

Diwani Ataka Wauza Chipsi Watozwe Ushuru

0

Baraza la Madiwani wa Manispaa ya Morogoro imetupilia mbali hoja ambayo imewasilishwa na mmoja wa madiwani hao kuwa wauza chipsi nao wawe wanalipa ushuru ili kuongeza ukusanyaji wa mapato kwenye Manispaa hiyo.

Madiwani hao wamesema wananchi wanatafuta kupato chao hivyo wanatakiwa kupewa elimu namna ya kutunza miundombinu iliyopo kwenye sehemu wanazofanya shughuli zao ila sio kuwatoza ushuru.

Leave A Reply