The House of Favourite Newspapers

Dogo Janja Ampa Heshima Madee

0

 

Rapa  kutoka kiwanda cha Hip Hop Abdul Chande ‘Dogo Janja’, amempa heshima mwanamuziki Hamadi Ali ‘Madee’ kuwa ni mbali na kazi ni kama Baba kwake.

Akizungumza na Risasi Vibe, Dogo Janja amesema kuwa, Madee ni mtu ambaye amemsogeza katika hatua zake tangu mwanzo mpaka sasa alipofikia.

‘Madee ni kama Baba kwangu, ni mtu ambaye yupo nyuma yangu kwa sababu alikabidhiwa na Marehemu Baba yangu kuwa anisimamie, kachukua nafasi kubwa katika maisha yangu, amekuwa akinirekebisha pale ninapokosea,’’ alisema Dogo Janja.

Stori: Happyness Masunga

Leave A Reply