The House of Favourite Newspapers

Dotto Magari Atembelea Mradi Wake Wa Nguruwe Alowekeza Mil 70 Dodoma – Video

0

Mfanyabiashara na Dalali wa magari Bongo, Dotto Keto @dotto_magari  ametembelea mradi wa ufugaji wa nguruwe wa Kijiji cha Nguruwe, uliopo Zamahelo, Bahi jijini Dodoma kuangalia maendeleo ya uwekezaji alioufanya.

Akiwa kwenye Kijiji cha Nguruwe, Doto ameeleza kuwa aliwekeza kiasi cha shilingi milioni 70 miezi sita iliyopita ambapo mpaka sasa uwekezaji wake una thamani ya Tsh milioni 210.

Leave A Reply