The House of Favourite Newspapers

Ester Kiama aamua kubadili dini

0

1Ester Kiama

Na Hamida Hassan
Staa wa Filamu za Kibongo, Ester Kiama ameamua kusilimu na kuingia kwenye dini ya Kiislam ili mwaka huu afunge Mwezi wa Ramadhani unaotarajiwa kuanza mwezi ujao.

Akipiga stori na Ijumaa, Ester amesema kwa kuwa muda mwingi anashiriki mambo ya dini ya Kiislam na mama yake ni muumini wa dini hiyo, ameona ni vyema akachukua uamuzi huo sasa ili awe na imani thabiti.

“Nimeamua kubadili dini, siku si nyingi nitaitwa Zahara maana naona sishiriki kanisani na mara nyingi huwa naenda kutoa sadaka, mashehe huwa wananiombea mara kwa mara sasa nimeamua,” alisema Ester.

Leave A Reply