The House of Favourite Newspapers

#Exclusive: Bi Mwenda Afichua Alivyoikimbia Nyumba Ya Urithi, Uchawi Anaoigiza – Video

0

MUIGIZAJI mkongwe wa filamu hapa nchini, Fatma Makongoro ” Bi Mwenda” amefunguka kuwa jina la kuitwa mchawi kila anapokatiza amebidi alikubali tu kwa sababu tangu anaanza kuigiza alikuwa akiigiza kwa uhusika huo na hata kama akipewa kuigiza vingine inakuwa ngumu sana na anaona wazi hatowapa kile wanachotaka mashabiki zake.

Akizungumza na @globaltvonline kupitia mtangazaji wake @imeldamtema Bi Mwenda,ambaye anafanya vizuri kwenye tamthilia ya Huba, alisema kuwa katika uhalisia yeye siyo mchawi na hajawahi kufanya mambo hayo hata kidogo ni mambo tu ya sanaa ambayo yameweza kumpa faida kubwa sana mpaka sasa.

Leave A Reply