The House of Favourite Newspapers

Exclusive: Mazito Yaibuka Watoto Wa Mondi

0

MJI mzito! Mambo kila siku yanaibuka mapya, lile suala la mama yake Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kassim ‘Sandra’ kutamka kuwa baba wa mwanaye huyo siyo Mzee Abdul Juma, limemeibua mazito mengine, Gazeti la IJUMAA WIKIENDA linakupa habari zaidi.

 

Iko hivi; baada ya mama Diamond au Mondi kutamka vile, Mzee Abdul alijibu mapigo kwa kumtaka Mondi asitumie jina lake.

  • Inaelezwa kuwa jambo hilo linakwenda kuwagharimu watoto wa Mondi.
  • Mama Mobetto amemwaga povu si la nchi hii.
  • Mzee Abdul na mwanasheria wake mambo yapo hivi………..

 

YOTE HAYA UNAYAPATA Bure NDANI YA GAZETI LA IJUMAA WIKIENDA leo Jan-25, 2021 kupitia Global APP

Pakua Global APP hapa USOMBE MAGAZETI PENDWA YA GLOBAL PUBLISHERS BUREEE!👇

Android 👉 http://bit.ly/38Lluc8

iOS 👉 https://apple.co/38HjiCx

Leave A Reply