The House of Favourite Newspapers

#Exclusive Video: Chino Afunguka Alivyotrend – ”Msinigombanishe Na Diamond, Haijaniongezea Chochote”…

0

Msanii aliyejizolea umaarufu kwenye mitandao ya kijamii @chinokidd7 kutokana na kazi zake amefunguka na kuelezea jinsi ambavyo anamkubali msanii Ali Kiba huku akisema kwamba Ali Kiba ni msanii mkubwa ambaye anapendwa na watu wengi na hivyo anaweza kufanya jambo lolote lile kwenye jamii ukilinganisha na upendo alio nao kwa watu.

Aidha, amefunguka na kusema kwamba watu wasianze kumlinganisha yeye na Diamond Platnumz kwani ni mtu ambaye amemzidi kwa kila kitu na badala yake amewataka watu kumwombea mema katika kazi yake ili aweze kufanya vizuri na hatimaye kushinda tuzo kubwa na za kimataifa ikiwemo tuzo za Grammy.

Leave A Reply