The House of Favourite Newspapers

Pata Gazeti Spoti Xtra Kila Jumapili, Alhamisi Kwa Sh. 500 Tu

KUANZIA Septemba 16, 2018,  Gazeti la michezo la Spoti Xtra litakuwa likitoka kila Alhamisi na Jumapili na litauzwa kwa Tsh 500/- tu.  Ununuapo gazeti hili utajishindia jezi ya timu uipendayo.

Tumekusikia na tunaendelea kukujali ewe msomaji wetu!

Comments are closed.