The House of Favourite Newspapers

Video: Giza Nene Latanda Jijini Arusha Maiti za Wanafunzi Zikiwasili Hospitali

0


Magari ya huduma ya kwanza yaliyobeba miili ya wanafunzi waliofariki ajalini wa Shule ya Lucky Vincent ya jijini Arusha yakiwasili katika Hospitali ya Mt. Meru.
Mmoja kati ya wazazi wa wanafunzi waliopata ajali akizungumza na wanahabari nje ya Shule ya Lucky Vincent.

Miili ya marehemu ikishushwa kutoka kwenye ambulance

Zoezi la kuteremsha miili likiendelea.

Wananchi wakiendelea kushusha miili ya marehemu Hospitali ya Mt. Meru.
Mmoja kati ya wazazi waliofiwa na watoto wao akizungumza na wanahabari.

Polisi wakiimarisha ulinzi nje ya Hospitali ya Mt. Meru.

Picha, Stori: Pamela Mollel/GPL-Arusha

 

Leave A Reply