Global Habari Jan 14: Rais Magufuli Awataka Mabalozi Kufanya Kazi Kwa Weledi


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli, Leo January 14 2020 amewaapisha mabalozi wanne watakaoiwakilisha Tanzania katika mataifa mbalimbali huku akiwataka Mabalozi hao kwenda kutekeleza majukumu yao kwa faida ya taifa, pamoja na kuzingatia mikakati ya SADC.

Rais Magufuli ameyasema hayo katika hafla ya uhapisho wa Mabalozi hao wanaokwenda kuiwakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali barani Africa huku akiwasisitiza kwenda kuchapa kazi kwa bidii.


Loading...

Toa comment