The House of Favourite Newspapers

Global Radio Yanyakua Tuzo Kibabe

0

 

RADIO namba moja ya mtandaoni nchini, @255globalradio imenyakua tuzo kubwa ya *Radio Bora ya Mtandaoni ya Mwaka* kutoka @digitalawardstz.

@255globalradio ilikuwa ikichuana na radio nyingine za mtandaoni katika kipengele hicho cha *Online Radio of the Year*, ambapo washiriki walikuwa ni:-
@Radio7_Oficial
@255GlobalRadio
@Boresha.Radio
@RudishaRadio
– Deep FM

Lakini @255GlobalRadio ndio imeibuka kinara na kunyakua tuzo hiyo.

Kwetu sisi ni faraja kubwa na ni kitu cha kujivunia sana… Lakini pongezi nyingi sana ziende kwa wasikilizaji wetu wote wa @255GlobalRadio ndani na nje ya mipaka ya Tanzania, mashabiki na wapenzi wa @255GlobalRadio popote mlipo, hii ni pamoja na Watanzania wote, nyie ndiyo wamiliki halali wa tuzo hii…

Much respect to our listeners…🙏🏻🎧🔊🎙

#DigitalAwardsTZ2020

Leave A Reply