The House of Favourite Newspapers

Gwajima: Nilishasema Sichanjwi

0

Mbunge wa Kawe Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima lililopo Ubungo, Dkt. Josephat Gwajima amekanusha taarifa zinasombaa mitandaoni kuwa amechomwa chanjo ya corona.

 

 

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Gwajima ameandika; NILISHASEMA MIMI SICHANJWI NA SITACHANJWA CHANJO YA CORONA

Scan hiyo QR code utapata jina la raia wa KENYA mwenye certificate walichotumia kuFAKE. Swipe picha ya pembeni yenye cheti husika cha raia wa Kenya. SICHANJWI NILISHASEMA.

 

Leave A Reply