The House of Favourite Newspapers

Harmonize Akutana na Anjella, Wazama Kufanya Yao! – Video

0

MWANAMUZIKI Harmonize, amekutana na binti Anjella, ambaye ana kipaji cha kuimba na pia ni mlemavu wa miguu.

 

Harmonize alipomuona binti huyo mitandaoni, alipenda kipaji chake na hivyo ameamua kumsaidia kimuziki kwa kumshirikisha kwenye wimbo wake mpya atakaotoa hivi karibuni, lakini pia ameahidi kumsaidia kupata matibabu ya tatizo la miguu yake.

 

Leave A Reply