The House of Favourite Newspapers

HASHIM RUNGWE Alivyoripoti Polisi, Adai Watapata Shida – Video

MWENYEKITI wa Chama cha Umma (CHAUMA), Hashim Rungwe,  amehojiwa na Kamanda wa Polisi Kinondoni katika Kituo cha Polisi, Oyster Bay jijiji Dar es Salaam, kwa tuhuma za kufanya mkutano wa ndani bila kibali kutoka  jeshi hilo.

 

Akizungumza baada ya kumaliza mahojiano hayo leo Jumatatu Juni 3, 2019, Rungwe amesema baada ya kuhojiwa kwa dakika 45 kwa kufanya mkutano wa ndani bila kibali ametakiwa kuandika maelezo ya yale aliyoyazungumza katika mkutano ule.

 

HASHIM RUNGWE Alivyoripoti Polisi Leo, Adai watapata Shida

Comments are closed.