The House of Favourite Newspapers

Hatimaye Mshindi wa BSS 2021 Akabidhiwa Mamilioni – Video

0

Mshindi wa Shindano la kusaka vipaji vya muziki la BSS, Yusuf Nizar, amekabidhiwa zawadi yake ya shilingi milioni 20 alizoahidiwa kukabidhiwa mshindi wa shindano hilo. Akizungumza baada ya kuingiziwa fedha hizo kwenye akaunti yake Nizar alimshukuru Mkurugenzi wa BSS, Madam Rita.

Leave A Reply