The House of Favourite Newspapers

Harmonize Kuwadai Wasafi Mamilioni, Vifaa vya Studio – Video

0

KATIKA kipindi cha ‘HOTPOT’ leo Timu ya wajuzi wa mambo ya UDAKU Bongo, wamechambua ongezeko la mwanamuziki mwingine kwenye lebo ya Konde Gang, mwanadada Anjella ambaye ametambulishwa na Lebo hiyo jana sambamba na sakata la Harmonize kumdai boss wake wa zamani, Diamond Platnumz na WCB mamilioni ya fedha ambayo inadaiwa aliwekeza kwenye Studio za Wasafi TV na Wasafi Radio.

 

Sambamba na hayo, HotPot pia imekupakulia usiyoyajua kuhusu aibu aliyoifanya Gigy Money nchini Kenya hivi karibuni alipoalikwa na Msanii wa Vichekesho, Eric Omondi.

 

Leave A Reply