The House of Favourite Newspapers

Hawa ndio Maspika Waliowahi Kuliongoza Bunge la Tanzania

0

Aloyekuwa Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Dk Tulia Ackson ameapa kuwa spika wa nane wa Bunge hilo tangu uhuru wa Tanzania Bara mwaka 1961 baada ya kuwashinda wagombea wenzake nane aliokuwa akichuana nao leo.

Wabunge waliomtangulia ni pamoja na;
1. A.Y.A.Karimjee, (1st Jan 1956- 26th Dec 1962)
2. Chief Adam Sapi Mkwawa, (27th Nov 1962-19th Nov 1973 na 6th Nov 1975- 25th Apr 1994)
3. Chief Erasto A.M. Mang’enya, MP (20th Nov 1973-5th Nov1975)
4. Pius Msekwa, MP (28th Apr 1994 -28th Nov 2005)
5. Samwel Sitta, MP (28th Dec 2005-2010)
6. Anne Makinda, Mp (10th Nov 2010 – 16th Nov 2015)
7. Job Ndugai, Mp (17th Nov 2015 – Jan 6 2022)
Hata hivyo Mbunge wa Kongwa na Spika za zamani Job Ndugai hakuonekana katika ukumbi wa Bunge wakati Dk Tulia akila kiapo.

Leave A Reply