The House of Favourite Newspapers

Idriss Deby: Rais Mbabe wa Chad, Aliyeuawa Akiwa Vitani -Video

0


HII ni makala inayomuelezea Rais wa Chad, Idriss Deby (68) aliyefariki dunia saa chache baada ya kutangazwa kushinda uchaguzi wa Urais kwa muhula wa sita.

 

Taarifa zilizotolewa na Jeshi la Chad na kutangazwa na redio ya taifa, Deby ambaye amekuwa madarakani kwa miaka 30, amefariki baada ya kupata majeraha kwenye mapambano dhidi ya waasi wanaoshambuliana na majeshi ya serikali Kaskazini mwa Sahel, wakijaribu kuuteka mji mkuu, N’Djamena. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave A Reply