The House of Favourite Newspapers

Inasikitisha: Mtoto Atokwa Haja Kubwa Sehemu Zote – Video

0

Mama mzazi wa Mtoto Rebecca Angelina Louis amewaomba Watanzania wamsaidie pesa ya matibabu ya mtoto wake ambaye amepatwa na tatizo la kutokwa na haja sehemu zote za haja kubwa na ndogo bila hata kujitambua.

Namba ya simu 0710744361.

Leave A Reply