The House of Favourite Newspapers

Irene Uwoya Afungwa Mdomo

0

MWANAMAMA wa Bongo Movies, Irene Uwoya amesema, maneno ya kuudhi anayokutana nayo mitandaoni yamemfunga mdomo.

 

Uwoya ameliambia Gazeti la IJUMAA WIKIENDA kuwa, watu wa kwenye mitandao, hata kama hutaki kuzungumza nao, watakufanya ujue maneno mbalimbali ya kuwakera kutokana na tabia zao za kuudhi.

“Watu wengi wananishanga sana siku hizi, wanasema nimekuwa na maneno.

 

“Ukweli ni kwamba wamenifundisha wao kuongea maana nilikuwa sina tabia ya maneno na mtu kabisa, lakini wananitafuta kama wanajua ukoo wangu, inaumiza sana,” alisema Uwoya ambaye sasa ameamua kufunga mdomo

DARASA – FAHAMU NAMNA YA KUONDOA VIKWAZO VINAVYOLETA ATHARI KWENYE UKOO | PART 2

Leave A Reply