The House of Favourite Newspapers

JPM Amteua Brigedia Jen. Mhidize Kuwa Mkuu wa MSD

0

Rais Magufuli amemteua Brig.Jen Dkt.Gabriel Sauli Mhidize kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD) kuanzia leo Mai 03l 2020 akichukua nafasi ya Laurean Bwanakunu ambaye uteuzi wake umetenguliwa, kabla ya uteuzi Mhidize alikuwa Mkuu wa Hospitali ya JWTZ Lugalo, DSM.

Leave A Reply