The House of Favourite Newspapers

JPM Atoa Heshima za Mwisho kwa Brigedia-Jenerali Ngwilizi

Rais  John Magufuli akisaini katika kitabu cha maombolezo  baada ya kuwasili Hospitali kuu ya Jeshi ya Lugalo,  Dar es Salaam, leo Mei 22,2019  kuaga mwili wa marehemu Brigedia-Jenerali Mstaafu Athuman Hassan Ngwilizi aliyefariki dunia hospitalini hapo Mei 20,2019.
…Akitoa heshima kando ya jeneza. 
…Akiendelea kutoa dua za mwisho. 
…Akisalimiana na Shehe Mkuu wa Dar es Salaam,  Alhaji Mussa Salum, alipowasili hospitalini hapo. 

 

…Akiagana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Venance Mabeyo, baada ya kutoa heshima za mwisho.

 

…Akiwa  na viongozi wengine na ndugu kuUsindikiza kwenye gari mwili wa marehemu.
…Akimpa pole mjane wa marehemu.

      PICHA NA IKULU

RC MWANRI ‘ALIVYOMNING’INIZA’ MTU – VIDEO

Comments are closed.