The House of Favourite Newspapers

Jumba la Pogba Kufuru

CHAMPIONI  | Manchester, England

SUPASTAA wa Manchester United, Paul Pogba amenunua nyumba ya kifahari kwa kitita cha pauni milioni 2.9, zaidi ya shilingi bilioni tano.

Hii inatajwa kuwa kati ya nyumba za gharama zaidi inayokaliwa na mwanasoka kwa sasa duniani. Nyumba hiyo ina vyumba vitano vya kulala, ikiwa na sehemu ya michezo mbalimbali na bafu kubwa la kisasa, milango ya joto, sehemu ya mkutano na waandishi wa habari na sehemu mbili za kupaki magari.

Nyumba hiyo ipo eneo la Cheshire ambapo wanaishi mastaa wakubwa nchini England. Kama mchezaji huyo atataka kutoka nyumbani kwake kwa gari kwenda kwenye Uwanja wa United wa mazoezi Carrington, basi atatumia dakika 20.

Swimming pool ya ndani

Kabla ya kununua nyumba hii, Pogba alipotua United alikuwa akikaa kwenye hoteli ya kisasa ya Lowry. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23 ndiye mchezaji aliyesajiliwa ghali zaidi duniani hadi sasa.

Dining room Sitting room

Bafu.

Chumba kikubwa.

Chumba kingine.

Mjengo wenyewe

Save

Kwa stori zote kali, Tu-follow

Facebook @Globalpublishers

Twitter @GlobalHabari

Instagram @GlobalPublishers

YouTube @GlobalTVTZ

Shinda Nyumba Awamu ya Pili Yatikisa Jiji la Dar es Salaam

Save

Save

Save

Comments are closed.