The House of Favourite Newspapers

Xavi Amtaka Pogba Barcelona

KOCHA wa Barcelona Xavi amefunga mlango wa kutaka kumnunua nyota wa Manchester United Paul Pogba kwa sababu Mfaransa huyo hafanani na wasifu wa klabu hiyo. Mkataba wa Pogba unamalizika mwishoni mwa msimu huu na amekuwa akihusishwa na…

PSG Bado Wanamuwinda Pogba

PARIS Saint-Germain bado wanamtazama kwa ukaribu nyota wa Manchester United, Paul Pogba kwa ajili ya kukamilisha usajili wake. Kwa mujibu wa Sky Sports imeeleza kuwa iliripoti Julai kwamba timu hiyo ya Ufaransa inahitaji kumpata nyota…

Paul Pogba na PSG Mambo Yamenoga

WAKALA wa staa wa Manchester United, Paul Pogba, Mino Raiola yupo kwenye majadiliano na Paris Saint-Germain kwa ajili ya usajili wa mteja wake huyo huko wakimtaka kwa pauni 43m. Pogba amesaliwa na mkataba wa mwaka mmoja ndani ya Man…

Pogba Aijisogeza PSG

MAZUNGUMZO kati ya PSG na wawakilishi wa Paul Pogba yanaendelea na makubaliano yapo katika hatua nzuri. Pogba kwa sasa kipaumbele chake ni kujiunga na Paris Saint-Germain. Klabu hiyo bado inatafuta kuimarisha nafasi ya…

Pogba Kuikosa Chelsea Ligi Kuu

PAUL Pogba anatarajiwa kuendelea kuwa nje kwa zaidi ya muda ambao alitarajiwa kuwa angerejea kutokana na kuwa majeruhi. Taarifa hiyo inaweza kuwa siyo nzuri kwa mashabiki wa timu ya staa huyo, Manchester United, ambapo…

Pogba Ampasua Kichwa Solskjaer

KOCHA wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer, amefunguka kuwa staa wake Paul Pogba ataendelea kuwa nje, huku beki Eric Bailly huenda akarejea uwanjani. Leo Jumapili, Man United itakuwa ugenini ikicheza dhidi ya West…

Pogba Asema Hana Furaha Man U

KIUNGO wa kati wa Manchester United na Ufaransa, Paul Pogba, anasema kwa sasa anapitia kipindi kigumu sana cha kazi yake ya soka kutokana na muda wake wa mchezo katika Old Trafford. Akifanyiwa mahojiano na kituo cha RTL. amesema…

Pogba Ashtua Kukutwa na Corona

KIUNGO Paul Pogba amewashtua wadau wengi wa soka baada ya kubainika kuwa na Virusi vya Corona huku Ligi Kuu ya England ikitarajiwa kuanza ndani ya wiki mbili zijazo. Kiungo huyo wa kati aliondolewa katika kikosi cha…

Pogba, Man U Mwisho Wao Umefika

MAISHA ya Paul Pogba ndani ya Manchester United ni kama yamefika mwisho na sasa kilichobaki ni pande hizo mbili kukubaliana juu ya kuachana. Hatua hiyo inaenda mbele zaidi ambapo hata wachezaji wenzake kikosini hapo wanaamini kuwa…

Imethibitishwa! Pogba Kusepa Man U

KIUNGO wa Manchester United, Paul Pogba imethibitika rasmi kuwa anaondoka Manchester United. Wakala wake Mino Raiola juzi aliibuka na kusema wazi kuwa anashughulikia suala la Pogba kuihama Manchester United na kuchezea timu nyingine msimu…

Zidane Ataka Dili la Pogba Fasta

KOCHA wa Real Madrid, Zinedine Zidane ameupa uongozi wa Real Madrid mtihani mzito baada ya kuwataka kuhakikisha wanamsajili Paul Pogba. Uongozi wa Real Madrid unagwaya bado kuonana na Manchester United kutokana na ukweli kuwa…