The House of Favourite Newspapers

Justin Bieber apata ‘kifaa’ kipya!

0

Bieberbn STAA wa muziki nchini Marekani asiyeishiwa vituko, Justin Bieber baada ya kuachana na mpenzi wake Kourtney Kardashian amepata mpenzi mpya aitwaye Alexandra Rodríguez  na wameonekana pamoja wakijivinjari kwenye fukwe za Miami huko Florida.

BieberbbMrembo huyo mpya anafanana sana na mpenzi wa zamani wa Beiber, Selena Gomez. Vyombo mbalimbali vimekuwa vikiripoti uhusiano huo wa kimapenzi baina ya Beiber na Alexandra Rodríguez hakuna hata mmoja aliyethibitisha kuwa wana uhusiano wa kimapenzi.Bieber and lodriguezBieber

Picha kibao zilizopigwa wakati wakiwa ufukweni zimeanza kuwaaminisha mashabiki wao wengi kuwa ni kweli wana uhusiano wa kimapenzi kutokana na ukaribu wao.Bieberb

Leave A Reply