The House of Favourite Newspapers

VIDEO: KAULI ya KOCHA wa TAIFA STARS Kuelekea MECHI na KENYA

Kaimu kocha mkuu wa Stars, Ettiene Ndayiragije, pamoja na Nahodha wa timu hiyo John Bocco wamewataka mashabiki kote nchini Kujitokeza kesho kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

 

Wakizungumza na waandishi wa habari hii leo Jumamosi, Julai 27, 2019 wamesema hamna chakupoteza katika mchezo huo na hii ni nafasi ya stars kuingia katika michuani hii kwa Mara ya pili.

 

Stars inaanza kibarua chake Cha kwanza kwenye mashindano hayo ambayo Yana tarajiwa kuanza Siku ya Jumapili ya hapo kesho dhidi ya Kenya Kisha marudiano Siku ya Tarehe 4 ya mwezi wa 8.

Comments are closed.