The House of Favourite Newspapers

Kidoa Wa ‘Huba’ Apewa Baraka Msikitini, Apeleka Sadaka Ya Futari Na Mazulia, Mwenyewe Afunguka – Video..

0
Msanii wa Bongo Muvi, Asha Salum ‘Kidoa’.

Msanii wa Bongo Muvi, Asha Salum ‘Kidoa’ @kidoasalum ambaye pia anafanya vizuri kwenye Tamthilia ya Huba akijulikana kama ‘Tima’, jana alipeleka sadaka yake ya futari pamoja na mazulia katika Msikiti wa Nuruel uliopo Bunju, Kinondoni Kata ya Mabwepande.

Katika msikiti huo ambao una uhaba wa vitu vya kusalia pamoja na jengo, waumini na viongozi walimshukuru Kidoa na kumuombea dua.

Kama umeguswa na unahitaji kuusaidia msikiti huo kwa chochote piga simu namba 0688507864 uweze kutoa sadaka yako.

Leave A Reply