The House of Favourite Newspapers

Kijana: Ajali Imekatisha Ndoto Zangu, Nisaidieni Nipo Kitandani Miaka 4 Mgongo, Nyonga Havifanyi Kazi- Video

0

Kijana Michael Charles Nyawanda (35), mkazi wa Mtaa wa Nyasula, Bunda mkoani Mara anasumbuliwa na tatizo la mgongo pamoja na nyonga kutokana na ajali ya gari aliyoipata 2019 na kusababisha awe ni mtu wa kitandani tu, akiwa hana uwezo wa kusimama wala kutembea.

Leave A Reply